Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
06 - صفر - 1441 هـ
05 - 10 - 2019 مـ
07:45 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )

[ لمتابعة رابط المشاركـة الأصليّة للبيان ]
https://mahdialumma.net./showthread.php?t=38405
ــــــــــــــــــــــــ


إعلان البشرى بأمرٍ من الله ..
Tangazo La Bishara Kwa Amri Kutoka Kwa Allah ..


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Na Mitume Wote Na Ju Ya Walio Wafwata Kwa Wema Katika Kila Zama Na Pahali Mpaka Siku Ya Dini, Ama Baada Ya Hapo..


Na Bishara ipi munae ingoja nayo enye ma3ashara ya wakanushaji kutokana na ukumbusho na wanao kadhibisha kua jua limefikilia mwezi na mwezi ikafwata katika mwanzo wa mwezi kusadikisha sharti katika masharti ya saa kuu na aya ya kusadikisha Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani? Na kiasi gani imekariri onyo kwenye miyezi mingi kama vile imetokezea kwenye mwandamo wa mwezi wa safar ya mwaka wenu hu 1441 na hivo hivo limefikilia jua mwezi kwenye mwandamo wa mwezi wa safar ukazaliwa mwezi kabla ya kushikana ikakutana nae jua na tayari ni mwandamo ikamalizika usiku mbili nazo ni jumamosi na jumapili na hakuna alio uwona mwandamo wa mwezi wa safar kwenye mataifa yote ya binadamu ispokua baada kuzama jua la jumapili usiku wa jumatatu na kwa hivo wameingia mwanzo wa safar mataifa yote ya kislamu ya kiarabu na ya kiajemi kwa usiku wa juma tatu; Yani wamewafikiana wote mataifa ya mashariki na magharibi kua safar moja imeanza siku ya jumatatu ya mwaka wenu hu 1441, Na siwalaumu kwa hayo hasha kwa Allah kwakua mwandamo wa mwezi wa safar ulikua kwenye hali ya kufikiliwa, Wala siwamuru kua waanze mwanzo wa mwezi ispokua waone mwandamo wake, Na wala sitowamuru ispokua kwa yale alio wamuru Allah na Mtume Wake, ispokua nawalaumu kwa kukadhibisha kua jua limefikilia mwezi katika mwanzo wa mwezi na mwezi ikafwata ndio ikazaliwa mwandamo kabla ya kusuf na kushikana ikakutana nae jua na tayari ni mwandamo, Kwajili ya hivo mutaona mwandamo wa mwezi umefura siku ya kutokezea kwake kwa watu wote kwenye mwanzo wa mwezi isemekane: [ليلتين أو ثلاث]
[ Wasiku mbili ama tatu ] kama alivo wafundisha Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam kua pindi ikifanyika hivo basi juweni kua mumeingia katika zama za masharti ya saa kuu na Akatumiliza Allah kwenu Al'Mahdi Al'Muntadhar Anasser Mnusura wa yale alio kuja nayo Muhammad Sala Za Mola Mlezi wangu Na Salam ju yake na ju ya alio fwata haki mpaka siku ya dini, Na bila shaka itatimia mwzi wa safar kua kamili albadr kabla miadi yake watauona kwa macho yao wote binadamu walio pambazukiwa nao katika mataifa yote ya mashariki na magharibi, Basi haihitaji mwezi kukamilika kua kamili albadr kuhitaji kuonekana kwa Microscope ili kuleta kwa karibu kama msemo wa kiyemeni ( kwenye usiku wa nusu mwezi atakae mpotea ngamia wake afwate nyayo ), Yani kua yeye ataona athari ya nyayo ya ngamia wake afwate amelekea wapi pamoja yakua ni usiku lakini usiku wa mwezi kua kamili albadr mwangaza wake ni mkubwa mno kiasi ya kwamba ataona nyayo ya ngamia wake, Basi vipi atahitaji kuangalia mwezi kua kamili kwa Microscope kama wanavo kanusha wengi katika watingishaji katika wanazuoni wa falaki kwa harakati ya mwezi ulio timia kua kamili je umetimia kamili ama bado sehemu? Basi pindi wakiona vijinywele kidogo vitatimia baada ya saa moja ama masa mawili ama matatu basi mutawaona wakisema bado nyumba kamili ya masa 24! Basi Mutawaona wanazuwia haki kuzuwia na hali wao wajua kutimu mwezi kua kamili ulio kamilika asili mia kwa mia utatimia saa fulani, Lakini pindi ikitokezea haki basi mutawaona wanasema imebaki nyumba moja na wao wanajua ispokua ni vijinywele tu va saa ya mwezi kua kamili inaifwata uwangaza kidogo kidogi mpaka ifike kua kamili badr atamam asili mia kwa mia siku hio hio ya mwezi kua kamili, Basi ingekua kama munavo dai kua vijinywele ambazo hazionekani kwa macho ya kawaida bali kwa Microscope ili ionekane kwa ukubwa basi hawangiweza ma umma wa mwanzo kujua usiku wa nusu ya kwanza katika mwezi, Na je vijinywele inakuweko kati


ka pembezoni mwa mwezi upande wa ju ispokua katika usiku wa nusu peke ndio iyene mwangaza taratibu taratibu katika usiku kwenye nyumba hio hio usiku mwezi kua kamili muna jambo gani mwahukumu vipi?!! Na mutaenda kuona mwezi kua kamili wa mwezi wa safar ni kua kweli imefika usiku wa kua mwezi kamili kabla miadi yake ya kifalaki ya kifiziki, Lakini hakuna uhai kwa wale unao waita!


Na wala hatutaki tuhadidishe siku ya adhabu huwenda Allah Akaichelewesha, ispokua nawahadharisha wanadamu katika pembe tafauti katika ulimwengu kua jua limefikia mwezi ikazaliwa mwandamo wa mwezi kabla ya kusuf na kushikana ikakutana nae jua nayo ni mwandamo yani kua usiku wa jumamosi ni mwanzo wa mwezi wa safar lakini ulikua uko kwenye hali ya kukutana basi hamuwezi kuona baada kuzama jua la juma usiku wa jumamosi, Na hivo hivo hamwezi kuona baada kuzama jua la jumamosi usiku wa kumapili katika mataifa yote ya binadamu, Na kwa Allah hoja ilio timia basi hoja ya Allah ju ya wanadamu ni usiku wakutimia mwezi kua kamili mwezi wa safar usiku wa juma mosi kabla ya wakati wake onyo ambalo lakukariri kwa wanadamu kwenye miyezi mingi kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{كَلَّا وَالْقَمَرِ ﴿٣٢﴾ وَاللَّيْلِ إِذْ أَدْبَرَ ﴿٣٣﴾ وَالصُّبْحِ إِذَا أَسْفَرَ ﴿٣٤﴾ إِنَّهَا لَإِحْدَى الْكُبَرِ ﴿٣٥﴾ نَذِيرًا لِّلْبَشَرِ ﴿٣٦﴾ لِمَن شَاءَ مِنكُمْ أَن يَتَقَدَّمَ أَوْ يَتَأَخَّرَ ﴿٣٧﴾} صدق الله العظيم [المدثر].
Allah Ta3ala Asema: { Hasha! Naapa kwa mwezi (32) Na kwa usiku unapo kucha (33) Na kwa asubuhi inapo pambazuka (34) Hakika huo Moto ni katika mambo yaliyo makubwa kabisa (35) Ni onyo kwa binaadamu (36) Kwa anaye taka miongoni mwenu kutangulia au kuchelewa (37)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almudathir].


Na hivo hivo usiku wa jumapili usiku wa albadr ya pili mwezi kua kamili kwa idhini ya Allah Al'Wahid Al'Ahad Al'Fard Al'Swamad Mwenye kuitembeza jua na mwezi na sayari zote kwa amri Yake enye ma3ashara ya wakanushaji wa ukumbusho kama kwamba ni mapunda wanao kimbia wanambkimbia simba! Basi mwangoja niwabashirie na nini basi Ametukuka Mwenye Kujua kwa yale mutakao enda kujua kua ni haki! Kulingana na habari kutoka kwa ilio wazi maana yake ukumbusho kua wengi wa binadamu ( يوعوا) ( yu'u) hawatoelewa kua ni haki kutoka kwa Mola Mlezi wao ispokua kwa adhabu chungu Na huwenda kutaka moja katika waulizaji kusema:" Na nini maana kilugha ya kiarabu kwa neno yu'un?", Na jibu la maana inaokusudiwa kwa neno yu'un yani wanaelewa, Ne eee ajabu enye ma3ashara ya maajemi na warabu na je hamutoelewa kua ni haki kutoka kwa Mola Mlezi wenu ispokua kwa adhabu chungu kisha museme Ewe Mola Mlezi Wetu Tuondole Adhabu hakika sisi Tumeamini! Na tulikua tukiwalingania kusujudu na alhali mulikua muko kwenye amani mpaka muone adhabu ilio wazi kisha ndio mutajua kua ni haki kutoka kwa Mola Mlezi wenu, Basi Ametukuka Mwenye kujua ghaibu Yeye Anajua zaidi kwa waja wake kuliko mja Wake kwa yale wanao yajua nayo waja Wake kua ni haki kutoka kwa Mola Mlezi Wao, Kwajili ya hivo Amemwamrisha Allah Khalifa Wake katika ilimu ya Al'Imam Al'Mahdi kwenye ilimu ya ghaibu kua awabashirie kwa adhabu kali, Basi hio amri katika muhakam ilio wazi maana yake kitabu ni kiasi gani tumewakumbusha kwa kukariri na mara kwa mara kwenye kauli ya Allah Ta3ala:
{فَلَا أُقْسِمُ بِالشَّفَقِ ﴿١٦﴾ وَاللَّيْلِ وَمَا وَسَقَ ﴿١٧﴾ وَالْقَمَرِ إِذَا اتَّسَقَ ﴿١٨﴾ لَتَرْكَبُنَّ طَبَقًا عَن طَبَقٍ ﴿١٩﴾ فَمَا لَهُمْ لَا يُؤْمِنُونَ ﴿٢٠﴾ وَإِذَا قُرِئَ عَلَيْهِمُ الْقُرْآنُ لَا يَسْجُدُونَ ۩ ﴿٢١﴾ بَلِ الَّذِينَ كَفَرُوا يُكَذِّبُونَ ﴿٢٢﴾ وَاللَّـهُ أَعْلَمُ بِمَا يُوعُونَ ﴿٢٣﴾ فَبَشِّرْهُم بِعَذَابٍ أَلِيمٍ ﴿٢٤﴾} صدق الله العظيم [الإنشقاق].
Allah Ta3ala Asema: { Basi ninaapa kwa wekundu wa jua linapo kuchwa (16) Na kwa usiku na unavyo vikusanya (17) . Na kwa mwezi unapo pevuka (18) Lazima mtapanda t'abaka kwa t'abaka (19) Basi wana nini hawaamini (20) Na wanapo somewa Qur'ani hawasujudu (21) Bali walio kufuru wanakanusha tu (22) Na Mwenyezi Mungu anajua wanayo yajua (23)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alinshiqaq].


Na huyo hapo mja Wako ametekeleza amri Yako Ewe Mungu Wangu na nimewabashiri wakanushaji kutokana na ulinganizi wa kuhukum


iwa kwa Al'Quran Al3adhim na kujifunga nayo wakakata wengi wao ispokua kukufuru na kiburi katika ardhi na mbinu bila ya haki; Na mbinu ya hawo itapotea na Khalifa wa Allah ana Mola Mlezi Anamlinda, Na imekurubia kumalizika zama za mazungumzo kabla kudhihiri, Na imekurubia ulinganizi wa Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani kufika miyaka kumi na tano ya kimwezi kwa hisabu zenu za kiardhi na nusu mwaka wa kimwezi kwa hisabu ya mwaka wa kimwezi kwa hisabu ya miyaka ya kimwezi wala sio hijria wala sio kimiladi wala hakuna kwa Al'Imam Al'mahdi tarehe ya kihijri wala ya kimiladi kwakua tarehe katika kitabu haikuanza kutoka kuzaliwa Mtume Wa Allah Masih isa mwana wa Maryam wala haikuanzia kuanzia alipo Fany hijra Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhim Wa Usalim Tasliman, Na wala haikua kwa haki ifwate matamanio yenu wala kutukuza kwenu Mitume wenu kwa kuzidisha ju yao bila ya haki enye ma3ashara ya washirikina kwa Allah na Mitume wake na ma wali wake walio karibu katika watu wema, Fawallahi thuma wallahi hatuwasaidi kwenu kitu kando na Allah na wala na hapana hamutopata kwenu pasi na Allah wali wala mwenye kunusuru wala hakuna mfito kwenu pasi na Allah wala kukimbia kwa adhabu yake ispokua kukimbia kwa Allah Kwenda kwake Ametukuka! Basi Nisadikini, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{فَفِرُّوا إِلَى اللَّـهِ ۖ إِنِّي لَكُم مِّنْهُ نَذِيرٌ مُّبِينٌ ﴿٥٠﴾ وَلَا تَجْعَلُوا مَعَ اللَّـهِ إِلَـٰهًا آخَرَ ۖ إِنِّي لَكُم مِّنْهُ نَذِيرٌ مُّبِينٌ ﴿٥١﴾}صدق الله العظيم [الذاريات].
Allah Ta3ala Asema: { Basi kimbilieni kwa Mwenyezi Mungu, hakika mimi ni mwonyaji kwenu wa kubainisha nitokae kwake (50) Wala msifanye kuwa kuna mungu mwengine pamoja na Mwenyezi Mungu. Hakika mimi ni mwonyaji kwenu wa kubainisha nitokae kwake (51)} Sadaqa Allah Al3adhim [Aldhariat].


Na kiasi gani nimewaonya kwa akida ya kutaka kushufaiwa kwa waja baina mikono ya Mola Mlezi Anae Abudiwa wakakata wengi wenu ispokua kumshirikisha kwa Allah wakasema kama mfano ya wale kabla yenu: "هؤلاء شفعاؤنا عند الله" " Hawa ndio waombelezi wetu mble ya Allah", Ametukuka Kwa yale wanao mshirikisha wa Ta3ala uluwan Kabirn! Wallahi Yule Ambae Hapana Mola ispokua Yeye wala siabudu pasi Nae sijuwi kua kuna mja katika ufalme wa Allah anao haki kusubutu kutaka kuombeleza kwa Allah aseme: " Ewe Mungu Wangu niombeleze", Basi haitowafa maombelezi ya waombelezaji kama vile munavo dai kua wao waomba kwa Allah kua wawashufaie nyinyi kutokana na adhabu yake, Ametukuka Alieju Subhanahu Wa Ta3ala Uluwan Kabiran! Na ndio hakika dua iko wazi duniani na akhera na wala Hajaifunga Allah Mlango Wa Rahma Yake Lakini mimi nawaona - hata akhera smameni pahala penu nyinyi na washirika wenu - Kwenye ilimu ya ghaibu kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَالَّذِينَ كَسَبُوا السَّيِّئَاتِ جَزَاءُ سَيِّئَةٍ بِمِثْلِهَا وَتَرْهَقُهُمْ ذِلَّةٌ ۖ مَّا لَهُم مِّنَ اللَّـهِ مِنْ عَاصِمٍ ۖ كَأَنَّمَا أُغْشِيَتْ وُجُوهُهُمْ قِطَعًا مِّنَ اللَّيْلِ مُظْلِمًا ۚ أُولَـٰئِكَ أَصْحَابُ النَّارِ ۖ هُمْ فِيهَا خَالِدُونَ ﴿٢٧﴾ وَيَوْمَ نَحْشُرُهُمْ جَمِيعًا ثُمَّ نَقُولُ لِلَّذِينَ أَشْرَكُوا مَكَانَكُمْ أَنتُمْ وَشُرَكَاؤُكُمْ ۚ فَزَيَّلْنَا بَيْنَهُمْ ۖ وَقَالَ شُرَكَاؤُهُم مَّا كُنتُمْ إِيَّانَا تَعْبُدُونَ ﴿٢٨﴾ فَكَفَىٰ بِاللَّـهِ شَهِيدًا بَيْنَنَا وَبَيْنَكُمْ إِن كُنَّا عَنْ عِبَادَتِكُمْ لَغَافِلِينَ ﴿٢٩﴾ هُنَالِكَ تَبْلُو كُلُّ نَفْسٍ مَّا أَسْلَفَتْ ۚ وَرُدُّوا إِلَى اللَّـهِ مَوْلَاهُمُ الْحَقِّ ۖ وَضَلَّ عَنْهُم مَّا كَانُوا يَفْتَرُونَ ﴿٣٠﴾} صدق الله العظيم[يونس].
Allah Ta3ala Asema: { Na wale walio chuma maovu, malipo ya uovu ni mfano wake vile vile, na yatawafika madhila. Hawatakuwa na wa kuwalinda na Mwenyezi Mungu. Nyuso zao kama kwamba zimefunikwa na vipande vya usiku wa giza. Hao ndio watu wa Motoni, wao humo watadumu (27) Na siku tutakapo wakusanya wote, kisha tutawaambia walio shirikisha: Simameni mahali penu nyinyi na wale mlio wafanya washirika. Kisha tutawatenga baina yao. Na hao walio washirikisha watasema: Nyinyi hamkuwa mkituabudu sisi (28) Mwenyezi Mungu anatosha kuwa ni shahidi baina yetu na nyinyi. Hakika sisi tulikuwa hatuna khabari ya ibada yenu (29) Huko kila mtu atayajua a liyo yatanguliza. Na watarudishwa kwa Mwenyezi Mungu, Mola wao wa Haki, na yote waliyo kuwa wakiyazua yatawapotea (30)} Sadaqa Allah Al3adhim [Yunus].



Na kiasi gani nimewanasihi kwenu yale Alio Wamuru Nayo Allah katika ilio wazi maana yake kitabu chake kwenye kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَأَنَّ الْمَسَاجِدَ لِلَّـهِ فَلَا تَدْعُوا مَعَ اللَّـهِ أَحَدًا ﴿١٨﴾} صدق الله العظيم [الجن]
{ Na hakika misikiti ni ya Mwenyezi Mungu, basi msimuabudu yeyote pamoja na Mwenyezi Mungu (18)} Sadaqa Allah Al3adhim [Aljin],
Basi Yeye Anawasikia bali Anajua yale kinacho mpitikia katika nafsi zenu, Basi kwajili ya nini mtu wa kati? Na je anapatikana ambae ni mwenye huruma kwenu zaidi kuliko Allah Arhama Arahimin? Ametukuka kwa yale wanao mshirikisha nayo Wa Ta3ala Uluwan Kabira, Na Akasema Allah Ta3ala:
{فَمَالِ هَـٰؤُلَاءِ الْقَوْمِ لَا يَكَادُونَ يَفْقَهُونَ حَدِيثًا} صدق الله العظيم [النساء:78]
{ Basi wana nini watu hawa hata hawakaribii kufahamu maneno} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa:78],
Basi wana nini washirikina miongoni mwenu pindi anapo msikia Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad A'Yamani anakanusha kutaka maombelezi ya waja baina Mikono Ya Mola Mlezi Anae Abudiwa na nikisema mombeni Allah pekeyake munakufuru na zinakunjika nyoyo zenu kwasababu ni kua pindi Anapo Ombwa Allah Pekeyake munakufuru na Akishirikishwa nae munaamini!! Allahuma hakika Wewe Wahukumu baina ya waja wako kwa yale walio kua wanakhitilifiana ndani yake baian dua ya haki na dua ya batili, Akasema Allah Ta3ala:
{ذَٰلِكُم بِأَنَّهُ إِذَا دُعِيَ اللَّـهُ وَحْدَهُ كَفَرْتُمْ ۖ وَإِن يُشْرَكْ بِهِ تُؤْمِنُوا ۚ فَالْحُكْمُ لِلَّـهِ الْعَلِيِّ الْكَبِيرِ ﴿١٢﴾} صدق الله العظيم [غافر].
Allah Ta3ala Asema: { Hayo ni hivyo kwa sababu mlikuwa akiombwa Mwenyezi Mungu peke yake mnakataa. Na akishirikishwa mnaamini. Basi hukumu ni ya Mwenyezi Mungu Mtukufu Mkuu (12)} Sadaqa Allah Al3adhim [Ghafir].


Na bado nazali naenda mbio ili kuwatowa waja kuabudu waja kwa dua zao pamoja na Allah kwenda kumwabudu Allah Mola Mlezi Wa waja basi ndio wamombe Yeye Peke Yake Hana Mshirika Na Yeye Kwenye Dua wala katika Kuabudu huwenda wakawa wachaji, La Quwata ila Billah Al3aliyu Al3adhim, ina lillah wa ina ileyhi rajiun, Hasbia Allah La ilaha ila Huwa Aliyhi Tawakaltu Wahuwa Rabularshi Al3adhim.


Na enye ma3ashara ya ma Ansar wenye youtube ni kheri munacho kifanya kwa kunushuru ulinganizi wa Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Kwa kusoma Bayana Ya Al'Quran Kwa Al'Quran lakini kwa Sharti kusikuweko mziki wakati wakusoma Bayana; Na je munataka msikizaji asikize mziki ama asikize Bayana? Muna nini munahukumu vipi! Pamoja yakua inanifurahisha sana wenye ulinganizi kwenye youtube kwa kusoma Bayana za Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani sawa awe ni mwanamume ama ni mwanamke basi neema wanacho kifanya lakini bila mziki ili asikize msikizaji kwenye kuisoma Bayana huwenda wakahurumiwa, Basi nitiini huwenda mukaongozwa, Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..


Khalifa Wa Allah Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani .
خليفة الله وعبده الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني .
___________

اقتباس المشاركة 317661 من موضوع إعلان البشرى بأمرٍ من الله ..

الإمام ناصر محمد اليماني
06 - صفر - 1441 هـ
05 - 10 - 2019 مـ
07:45 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )

[ لمتابعة رابط المشاركـة الأصليّة للبيان ]
https://mahdialumma.net./showthread.php?p=317649

ــــــــــــــــــــــــ


إعلان البشرى بأمرٍ من الله ..

بسم الله الرحمن الرحيم، والصلاة والسلام على محمد رسول الله صلّى الله عليه وسلم وجميع المرسلين وعلى من تبعهم بإحسان في كلّ زمان ومكان إلى يوم الدين، أما بعد..

فماذا تنتظرون أن نبشّركم به يا معشر المعرضين عن الذكر والمكذبين أن الشمس أدركت القمر فتلاها في أوّل الشهر تصديق شرطٍ من أشراط الساعة الكبر وآية التصديق للمهديّ المنتظَر ناصر محمد اليماني؟ فلكم تكرر النذير في أشهرٍ كُثر كما حدث لهلال شهر صفر لعامكم هذا 1441 فكذلك أدركت الشمس القمر في هلال شهر صفر فولد الهلال من قبل الاقتران فاجتمعت به الشمس وقد هو هلال فانقضت ليلتان وهنّ السبت والأحد ولم يشاهد هلال شهر صفر كافة دول البشر إلا بعد غروب شمس الأحد ليلة الإثنين ولذلك دخلوا غرّة صفر جميع الدول الإسلاميّة العربيّة والأعجميّة بليلة الإثنين؛ بمعنى أنهم اجتمعوا جميعاً دول الشرق والغرب على أن واحد صفر هو بدْءاً من يوم الإثنين لعامكم هذا 1441، ولا نلومهم على ذلك حاشا لله كون هلال شهر صفر كان في حالة إدراكٍ، ولا نأمرهم أن يبدأوا غرّة الشهر حتى يشهدوا هلاله، ولن نأمرهم بغير ما أمرهم الله ورسوله، وإنما نلومهم على التكذيب بأنّ الشمس أدركت القمر في أوّل الشهر فتلاها فولد الهلال من قبل الكسوف والاقتران فاجتمعت به الشمس وقد هو هلال، ولذلك ترون هلال الشهر منتفخاً يوم خروجه للناس كافةً في أوّل الشهر فيُقال: [ليلتين أو ثلاث] كما علمكم محمد رسول الله صلّى الله عليه وآله وسلم أنه إذا حدث ذلك فاعلموا أنكم دخلتم في عصر أشراط الساعة الكبر وبعثَ اللهُ فيكم المهديّ المنتظَر الناصر لما جاء به محمدٌ صلوات ربي وسلامه عليه وعلى من تبعه بالحقّ إلى يوم الدين، وحتماً يكتمل البدر لشهر صفر قبل موعده يرونه بأمّ أعينهم كافة من أشرق عليهم من البشر في كلّ دولةٍ شرقيّةٍ وغربيّةٍ، فلا يحتاج القمر البدر إلى المجهر المكبر كما يقول المثل اليمني (في ليلة النص من ضل عنه بعيره يقص)، بمعنى أنه سوف يرى أثر بعيره أين ذهب فيبحث عنه برغم أنه ليلٌ ولكن ليلة البدر شديدة الإضاءة لدرجة أنه يرى أثر قدم البعير، فكيف يحتاج أن ينظر إلى القمر بالمجهر المكبر كما يصدّ كثيرٌ من المرجفين من علماء الفلك بحركة النظر إلى القمر البدر بالمجهر المكبر لينظروا هل اكتمل بدره أم باقي له منزلة؟ فإذا رأوا شعيراتٍ تبقت من ساعات طور البدر تنتهي بعد ساعة أو ساعتين أو ثلاث فترونهم يقولون باقي منزلة كاملة 24 ساعة! فترونهم يصدون عن الحقّ صدوداً وهم يعلمون أنّ طور البدر في ليلة النصف من الشهر يصل إلى طور البدر المكتمل مائة في المائة الساعة الفلانيّة، ولكن حين يحصحص الحقّ فترونهم يقولون باقي منزلة وهم يعلمون أنما شعيرات ساعات البدر يحلقها الضياء شيئاً فشيئاً حتى يصل بدر التمام مائة بالمائة بنفس ليلة البدر، فلو كان كما تزعمون أنّ الشعيرات التي لا تُرى بالعين المجردة بل بالتلسكوب المكبر إذاً لما عرفتْ الأممُ الأولى لليلة النصف الأولى من الشهر، فهل الشعيرات تحدث في أطراف القمر من الأعلى إلا في ليلة النصف حصرياً فيحلقها الضياء شيئاً فشيئاً خلال الليلة في نفس منزلة ليلة البدر. ما لكم كيف تحكمون؟!! ولسوف ترون بدر القمر لشهر صفر وأنه حقاً حَلتْ ليلة الإبدار قبل موعده الفلكيّ الفيزيائيّ، ولكن لا حياة لمن تنادي!

ولا نريد أن نحدد موعد العذاب لعل الله يؤخركم، وإنما نحذر البشر في مختلف الأقطار بأن الشمس أدركت القمر فولد الهلال من قبل الكسوف والاقتران فاجتمعت به الشمس وقد هو هلال بمعنى أن ليلة السبت بداية غرّة شهر صفر ولكن كان في حالة اجتماعٍ فلا تستطيعون رؤيته بعد غروب شمس الجمعة ليلة السبت، وكذلك لا تستطيعون رؤيته بعد غروب شمس يوم السبت ليلة الأحد في كافة دول البشر، ولله الحجّة البالغة فحجّة الله على البشر ليلة اكتمال بدر شهر صفر ليلة السبت من قبل أوانه نذيراً متكرراً للبشر في كثيرٍ من الأشهر تصديقاً لقول الله تعالى: {كَلَّا وَالْقَمَرِ ﴿٣٢وَاللَّيْلِ إِذْ أَدْبَرَ ﴿٣٣وَالصُّبْحِ إِذَا أَسْفَرَ ﴿٣٤إِنَّهَا لَإِحْدَى الْكُبَرِ ﴿٣٥نَذِيرًا لِّلْبَشَرِ ﴿٣٦لِمَن شَاءَ مِنكُمْ أَن يَتَقَدَّمَ أَوْ يَتَأَخَّرَ ﴿٣٧}
صدق الله العظيم [المدثر].

وكذلك ليلة الأحد ليلة البدر الثاني بإذن الله الواحد الأحد الفرد الصمد مجري الشمس والقمر وكافة الكواكب بأمره يا معشر المعرضين عن ذكره كأنهم حُمُرٌ مستنفرةٌ فرّتْ من قسورة! فماذا تنتظرون أن نبشركم به فسبحان من يعلم بما سوف تعلمون أنه الحقّ! بحسب الأخبار في محكم الذكر أنّ كثيراً من البشر لن يوعوا أنه الحقّ من ربهم إلا بعذابٍ نُكرٍ. وربما يودّ أحد السائلين أن يقول: "وما المعنى اللغوي العربي لكلمة يوعون؟"، والجواب بالمراد لكلمة يوعون أي يفهمون. فيا للعجب يا معشر العجم والعرب فهل لن توعوا أنه الحقّ من ربكم إلا بعذابٍ أليمٍ فمن ثم تقولون ربنا اكشف عنا العذاب إنا مؤمنون! وقد كنا ندعوكم للسجود وأنتم سالمون حتى تروا العذاب المبين فمن ثم تعلمون أنه الحق من ربكم، فسبحان علام الغيوب هو أعلمُ بعباده من عبده بما يوعون به عباده أنه الحقّ من ربهم، ولذلك أمر الله خليفته في علم الإمام المهدي في علم الغيب أن يبشّرهم بعذابٍ أليمٍ، فذلك الأمر في محكم الكتاب لكم ذكرناكم به كراراً ومراراً في قول الله تعالى: {فَلَا أُقْسِمُ بِالشَّفَقِ ﴿١٦وَاللَّيْلِ وَمَا وَسَقَ ﴿١٧وَالْقَمَرِ إِذَا اتَّسَقَ ﴿١٨لَتَرْكَبُنَّ طَبَقًا عَن طَبَقٍ ﴿١٩فَمَا لَهُمْ لَا يُؤْمِنُونَ ﴿٢٠وَإِذَا قُرِئَ عَلَيْهِمُ الْقُرْآنُ لَا يَسْجُدُونَ ۩ ﴿٢١بَلِ الَّذِينَ كَفَرُوا يُكَذِّبُونَ ﴿٢٢وَاللَّـهُ أَعْلَمُ بِمَا يُوعُونَ ﴿٢٣فَبَشِّرْهُم بِعَذَابٍ أَلِيمٍ ﴿٢٤﴾} صدق الله العظيم [الإنشقاق].

وها عبدك نفذ أمرك يا إلهي وبشرتُ المعرضين عن دعوة الاحتكام إلى القرآن العظيم والاعتصام به فأبوا أكثرهم إلا كفوراً واستكباراً في الأرض ومكراً بغير الحقّ؛ ومكر أولئك هو يبور ولخليفة الله ربٌّ يحميه، وأوشك أن ينتهي عصر الحوار من قبل الظهور، وأوشكت دعوة الإمام المهدي ناصر محمد اليماني أن تبلغ خمسة عشر عاماً قمريّاً بحسابكم الأرضي ونصف عامٍ قمريّ بحساب سنة القمر بحسب سنين القمر وليس هجرياً ولا ميلادياً فليس لدى الإمام المهديّ تاريخٌ هجري ولا ميلادي كون التاريخ في الكتاب لم يبدأ منذ ميلاد رسول الله المسيح عيسى ابن مريم ولا منذ هجرة محمدٍ رسول الله صلى الله عليهم وأسلم تسليماً، وما كان للحقّ أن يتّبع أهواءكم ولا تعظيمكم لرسلكم بالمبالغة فيهم بغير الحقّ يا معشر المشركين بالله رسلَه وأولياءَه المقربين من الصالحين، فوالله ثم والله لا نغني عنكم من الله شيئاً ولا ولن تجدوا لكم من دون الله ولياً ولا نصيراً ولا ملجأ لكم من الله ولا مفرَّ من عذابه إلا الفرار من الله إليه سبحانه! فصدقون، تصديقاً لقول الله تعالى: {فَفِرُّوا إِلَى اللَّـهِ ۖ إِنِّي لَكُم مِّنْهُ نَذِيرٌ مُّبِينٌ ﴿٥٠وَلَا تَجْعَلُوا مَعَ اللَّـهِ إِلَـٰهًا آخَرَ ۖ إِنِّي لَكُم مِّنْهُ نَذِيرٌ مُّبِينٌ ﴿٥١﴾} صدق الله العظيم [الذاريات].

فلكم أنذرتكم عقيدة طلب الشفاعة للعبيد بين يدي الربّ المعبود فأبى أكثركم إلا الشرك بالله وقالوا كمثل قول الذين من قبلهم: "هؤلاء شفعاؤنا عند الله"، سبحانه عمّا يشركون وتعالى علواً كبيراً! والله الذي لا إله غيره ولا أعبد سواه لا أعلم أنّ هناك عبدٌ في ملكوت الله له الحق أن يتجرأ لطلب الشفاعة من الله فيقول: "يا إلهي شفّعني"، فلن تنفعكم شفاعة الشافعين كما تزعمون أنهم يطلبون من الله أن يشفعوا لكم من عذابه، سبحانه وتعالى علواً كبيراً! ونَعم إنّ الدعاء مفتوحٌ في الدنيا والآخرة ولم يقفل اللهُ باب رحمته ولكني أراكم - حتى في الآخرة مكانكم أنتم وشركاؤكم - في علم الغيب تصديقاً لقول الله تعالى: {وَالَّذِينَ كَسَبُوا السَّيِّئَاتِ جَزَاءُ سَيِّئَةٍ بِمِثْلِهَا وَتَرْهَقُهُمْ ذِلَّةٌ ۖ مَّا لَهُم مِّنَ اللَّـهِ مِنْ عَاصِمٍ ۖ كَأَنَّمَا أُغْشِيَتْ وُجُوهُهُمْ قِطَعًا مِّنَ اللَّيْلِ مُظْلِمًا ۚ أُولَـٰئِكَ أَصْحَابُ النَّارِ ۖ هُمْ فِيهَا خَالِدُونَ ﴿٢٧وَيَوْمَ نَحْشُرُهُمْ جَمِيعًا ثُمَّ نَقُولُ لِلَّذِينَ أَشْرَكُوا مَكَانَكُمْ أَنتُمْ وَشُرَكَاؤُكُمْ ۚ فَزَيَّلْنَا بَيْنَهُمْ ۖ وَقَالَ شُرَكَاؤُهُم مَّا كُنتُمْ إِيَّانَا تَعْبُدُونَ ﴿٢٨فَكَفَىٰ بِاللَّـهِ شَهِيدًا بَيْنَنَا وَبَيْنَكُمْ إِن كُنَّا عَنْ عِبَادَتِكُمْ لَغَافِلِينَ ﴿٢٩هُنَالِكَ تَبْلُو كُلُّ نَفْسٍ مَّا أَسْلَفَتْ ۚ وَرُدُّوا إِلَى اللَّـهِ مَوْلَاهُمُ الْحَقِّ ۖ وَضَلَّ عَنْهُم مَّا كَانُوا يَفْتَرُونَ ﴿٣٠﴾} صدق الله العظيم [يونس].

فلكم نصحت لكم ما أمركم الله به في محكم كتابه في قول الله تعالى: {وَأَنَّ الْمَسَاجِدَ لِلَّـهِ فَلَا تَدْعُوا مَعَ اللَّـهِ أَحَدًا ﴿١٨} صدق الله العظيم [الجن]، فهو يسمعكم بل ويعلم ما توسوس به أنفسكم فلماذا الوسيط؟ فهل يوجد من هو أرحم بكم من الله أرحم الراحمين؟ سبحانه عمّا يشركون وتعالى علواً كبيراً، وقال الله تعالى: {فَمَالِ هَـٰؤُلَاءِ الْقَوْمِ لَا يَكَادُونَ يَفْقَهُونَ حَدِيثًا} صدق الله العظيم [النساء:78]، فما خطب المشركين منكم ما إن يسمع الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني ينفي طلب شفاعة العبيد بين يدي الربّ المعبود وإذا قلتُ ادعوا الله وحده كفرتم واشمأزت قلوبكم بسبب أنه إذا دُعي الله وحده تكفروا وأن يشرك به في الدعاء تؤمنوا! اللهم إنك تحكم بين عبادك فيما كانوا فيه يختلفون بين دعاة الحقّ ودعاة الباطل، وقال الله تعالى: {ذَٰلِكُم بِأَنَّهُ إِذَا دُعِيَ اللَّـهُ وَحْدَهُ كَفَرْتُمْ ۖ وَإِن يُشْرَكْ بِهِ تُؤْمِنُوا ۚ فَالْحُكْمُ لِلَّـهِ الْعَلِيِّ الْكَبِيرِ ﴿١٢} صدق الله العظيم [غافر].

ولا نزال نسعى لإخراج العبيد من عبادة العبيد بدعائهم مع الله إلى عبادة الله ربّ العبيد فيدعونه وحده لا شريك له في الدعاء ولا في العبادة لعلهم يتقون، لا قوة إلا بالله العلي العظيم، إنا لله وإنا إليه راجعون، حسبي الله لا إله إلا هو عليه توكلت وهو ربّ العرش العظيم.

ويا معشر الأنصار أصحاب اليوتيوب خيراً ما تفعلون بنشر دعوة الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني بتلاوة بيان القرآن بالقرآن ولكن بشرط عدم وجود الموسيقا أثناء تلاوة البيان؛ فهل تريدون المستمع يستمع للموسيقا أم يستمع للبيان؟ ما لكم كيف تحكمون! برغم إنه ليسعدني كثيراً أصحاب دعوة اليوتيوب بقراءة بيانات الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني سواء كان ذكراً أم أنثى فنِعْمَ ما يفعلون ولكن من غير موسيقا حتى يستمع المستمع إلى تلاوة البيان لعلّهم يُرحمون، فأطيعوني لعلكم ترشدون، وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..

خليفة الله وعبده الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني .
_______________
اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..