[ لمتابعة رابط المشاركـــــــــــــة الأصليّة للبيــــــــــــــان ]
(https://mahdialumma.net./showthread.php?p=101531)
Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
17 - 07 - 1434 هـ
27 - 05 - 2013 م
07:18 صباحاً
ـــــــــــــــــــ
فتوى عدد زوجات محمدٍ رسول الله صلى الله عليه وسلم
فلم يحلّ له الله أن يتزوّج بأكثر من أربع حرّات..
Fatwa Ya Idadi Ya Wake Wa Mumammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Alyhi Wa Alihi Wa Wasalam
Na Haja'Mhalalishia Allah A'Owe Zaidi Ya Wanne Huru..
Baruwa Kutoka Kwa Raiya Sio Mwislamu, Basi Salam Aleyikum Na Niko Na Ma'Suali Inanifanya Niwe Mbali Na Uwislamu Basi Hajanijibu
Yoyote Katika Wanazuoni Wa Kaumu Wala Wanao Toa Ameri Vipi Atakuja Nabi Kwa Sharia Alafu Asitabikishe Ju Ya Nafsi Yake Na Alokuja'Nayo Haimpasi Kuowa Zaidi Ya Wanne na Yeye Ameowa Zaidi Ya Wainne Na Vipi Wasemaje Kwa Hio Kauli?
Nini Tafsiri Kauli Ya Allah Ta3ala
فإن كنت في شك مما أنزلنا إليك فاسأل الذين يقرءون الكتاب من قبلك؟
{Na ikiwa Uko Kwenye Shaka Kwa Yale Tulio'Teremsha Kwako Basi Uliza Wale Ambao Wanaosoma Kitabu Kabla Yako?
Basi Nimesikia Kua Al'Mahdi Al'Muntadhar Ni Nasser Muhammad Basi Nikangalia Badhi Ya Ma'Bayana Basi Naziona Kuwa Inakubaliana Na Akili Na Inakurubia Mantik Na Je Muko Na Bayana Kwa Ma'Suali Yangu Na Nawapa Wingi Wa Hishima Na Kuwapa Cheo Chenu
Bismillah Al'Rahman Al'Rahim,Na Sala Na Salamu Ju Ya Wote Ma'Nabi Wa Allah Na Ahli Yao Kutoka Mwanzo Wao Mpaka Mwisho Wao Muhammad Mtume Wa Allah,
Enyi Mulio Amini Msalieni Ju Yake Na Mutowe Salam Kwa Wingi, Ama Ba'Ada Ya Hapo..
Na Ewe Ambae Unae Uliza Kuhusu Wake Wa Nabi Basi Sijuwi Kuwa Allah Amemhalalishia Yeye Ku'Owa Kwa Zaidi Ya Wanne huru Na Akaharamisha Allah Awataliki Kutokana Na Dhati Ya Nafsi Yake Kwa Kuwa Walio Talikiwa Wanapata Wenye Kuwa'Owa Ispokuwa Wake Wa Muhammad Mtume Wa Alla-Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Basi Hawatapata Mwenye Kuwaowa Lau Atawawacha Kwajili Wao Wameharamishiwa Kwa Waumini Kwakuwa Wao Ni Mamazao,Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى:
{ النَّبِيُّ أَوْلَىٰ بِالْمُؤْمِنِينَ مِنْ أَنْفُسِهِمْ وَأَزْوَاجُهُ أُمَّهَاتُهُمْ } صدق الله العظيم [الحزاب:6]
Allah Ta3ala Asema:{Al'Nabi Ni Awula Kwa Waumini Kuliko Nafsi Zao Na Wa'Ake Zake Ni Mama Zao} Sadaqa Allah Al3adhim [Alahzab:6].
Na Wala Haimpasi Kuwa Halali Kwa Muhammad Mtume Wa Allah-Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam-Ku'Owa Zaidi Ya Wanawake Huru Wanne Ila Watakao Miliki Kwa Mkono Wake Wakulia, Mpaka Pindi Aki'Owa Wanawake Huru Wanne Imeharamika Kwake Ku'Owa Zaidi Ya Idadi Hio, Na Kadhalika Imeharamishwa Kwake Awataliki Kutoka Dhati Ya Nafsi Yake Ispokuwa Atake Talaka Mwenyewe Kwakuwa Hato Pata Mwenye Kuwaowa Ba'Ada Yake Kwakuwa Kuolewa Kwao Ime'Haramishwa Kwa Waumini Ba'Ada Ya Al'Nabi Aleyhi Alsalat Wa Salam, Kwajili Ya Hivo Sio Halai Kwake Kuwa Abadilishe Badala Yao Hata Kama Atapendezwa Na Uzuri Wao, Na Kadhalika Haimpasi Ku'Owa Wanawake Huru Ba'Ada Ya Wa'inne Ila Atakao Wa'Miliki kwenye Mikono Yake Wa'Kulia,Kisadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى: { لَّا يَحِلُّ لَكَ النِّسَاءُ مِن بَعْدُ وَلَا أَن تَبَدَّلَ بِهِنَّ مِنْ أَزْوَاجٍ وَلَوْ أَعْجَبَكَ حُسْنُهُنَّ إِلَّا مَا مَلَكَتْ يَمِينُكَ وَكَانَ اللَّهُ عَلَىٰ كُلِّ شَيْءٍ رَّقِيبًا (52) يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَدْخُلُوا بُيُوتَ النَّبِيِّ إِلَّا أَن يُؤْذَنَ لَكُمْ إِلَىٰ طَعَامٍ غَيْرَ نَاظِرِينَ إِنَاهُ وَلَٰكِنْ إِذَا دُعِيتُمْ فَادْخُلُوا فَإِذَا طَعِمْتُمْ فَانتَشِرُوا وَلَا مُسْتَأْنِسِينَ لِحَدِيثٍ إِنَّ ذَٰلِكُمْ كَانَ يُؤْذِي النَّبِيَّ فَيَسْتَحْيِي مِنكُمْ وَاللَّهُ لَا يَسْتَحْيِي مِنَ الْحَقِّ وَإِذَا سَأَلْتُمُوهُنَّ مَتَاعًا فَاسْأَلُوهُنَّ مِن وَرَاءِ حِجَابٍ ذَٰلِكُمْ أَطْهَرُ لِقُلُوبِكُمْ وَقُلُوبِهِنَّ وَمَا كَانَ لَكُمْ أَن تُؤْذُوا رَسُولَ اللَّهِ وَلَا أَن تَنكِحُوا أَزْوَاجَهُ مِن بَعْدِهِ أَبَدًا إِنَّ ذَٰلِكُمْ كَانَ عِندَ اللَّهِ عَظِيمًا (53) إِن تُبْدُوا شَيْئًا أَوْ تُخْفُوهُ فَإِنَّ اللَّهَ كَانَ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمًا (54) } صدق الله العظيم [الأحزاب]
Allah Ta3ala Asema:{Baada ya hawa hawakuhalalikii wewe wanawake wengine, wala kuwabadilisha kwa wake wengine ingawa uzuri wao ukikupendeza; isipo kuwa yule uliye mmiliki kwa mkono wako wa kulia. Na Mwenyezi Mungu anachungua kila kitu(52)Enyi mlio amini! Msiingie nyumba za Nabii ila mpewe ruhusa kwenda kula, sio kungojea kiwive. Lakini mtakapo itwa basi ingieni, na mkisha kula tawanyikeni, wala msiweke mazungumzo. Hakika hayo yanamuudhi Nabii naye anakustahini, lakini Mwenyezi Mungu hastahi kwa jambo la haki. Na mnapo wauliza wakeze haja waulizeni nyuma ya mapazia. Hivyo ndio usafi zaidi kwa nyoyo zenu na nyoyo zao. Wala haikufalieni kumuudhi Mtume wa Mwenyezi Mungu, wala kuwaoa wake zake baada yake kabisa. Hakika jambo hilo ni kubwa mbele ya Mwenyezi Mungu(53)Mkidhihirisha chochote kile, au mkikificha, basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua kila kitu(54)} Sadaqa Allah Al3adhim [ Alahzab].
Basi Musifwate Wale Ambao Wanazulia Mtume Wa Allah- Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam-Kama Hajateremsha Allah Utawala Nayo, Na Hasbuna Allah Wa Nima Alwakil, Subhana Rabika Rabi Alizati Ama Yasifun! Na Salam Ju Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabi Al3alamin..
Ndugu Yenu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
Endelea Chini ⬇️
ــــــــــــــــــــ
-2-
[ لمتابعة رابط المشاركـــــــــــــة الأصليّة للبيــــــــــــــان ] (https://mahdialumma.net./showthread.php?p=101815)
Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
19 - 07 - 1434 هـ
29 - 05 - 2013 م
04:22 صباحاً
ــــــــــــــــــــ
لم يُحل الله لأنبيائه الزواج بأكثر من أربعٍ من الزوجات الحُرّات إلا ما ملكت أيمانهم..
Haja Halalisha ALLAH Kwa Ma'Nabi Wake Ku'Owa Zaidi Ya Wa'inne Katika Wake Huru Ispokuwa Wlio Miliki Kuliani Kwao..
Bismi Allah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salamu Ju Ya Khatim Wa Ma Nabi Na Mitume Na Alihi Na Wote Mitume Kabla Yake Na Ahli Yao Na Wote Waumini Wanao Fwata Kwa Haki katika Kila Zama Na Pahsla Mpaka Siku Ya Dini, Ama Ba'Ada Hapo..
Tayari Imetimu Kuteremshwa Uwamuzi Wa Kuowa Wanawake Huru Mpaka Wa'Inne Na Ju Yake Wale Umemiliki Kulia , Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
فَانكِحُواْ مَا طَابَ لَكُم مِّنَ النِّسَاء مَثْنَى وَثُلاَثَ وَرُبَاعَ فَإِنْ خِفْتُمْ أَلاَّ تَعْدِلُواْ فَوَاحِدَةً } صدق الله العظيم [النساء:3]
Allah Ta3ala Asema:{basi oeni mnao wapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisa:3].
Na Anacho Kusudia Allah Kwenye Kauli Yake:
{ فَانكِحُواْ مَا طَابَ لَكُم مِّنَ النِّسَاء مَثْنَى
{basi oeni mnao wapenda katika wanawake, wawili}? Na Hio Yani Ba'Ada Ya Mke Wa Kwanza Ndio Ike Kuhalalisha Kwa(Mathna) Anakusudia Wawili, Na(Thulatha) Anakusudia Watatu, Na(Ruba3a) Anakusudia Waine.
Na Labda Anataja Sahibu Makka Kusema:"Lakini Nini Hio Dalili Inaokata Mamuzi Kuwa Allah Anakusudia(Mathna) Yani Wanawake Wawili?". na Alafu Naridisha Jibu Ju Yake Kwa Haki Na Nasema:Hakika Ya(Mathna) Ni ba'Ada Ya Idadi Ya Furada Moja Ndio Inakuja Idadi Ya Mathna Wawili Na Burhan ushahidi Kuwa Allah Akusudia Mathna Kuwa Nambari Mbili Mutaikuta Katika Kauli Yake Allah Ta3ala:
في قول الله تعالى: { قُلْ إِنَّمَا أَعِظُكُمْ بِوَاحِدَةٍ أَنْ تَقُومُوا لِلَّهِ مَثْنَىٰ وَفُرَادَىٰ ثمّ تَتَفَكَّرُوا مَا بِصَاحِبِكُمْ مِنْ جِنَّةٍ إِنْ هُوَ إِلَّا نَذِيرٌ لَكُمْ بَيْنَ يَدَيْ عَذَابٍ شَدِيدٍ } صدق الله العظيم [سبأ:46]
Allah Ta3ala Asema:{Sema: Mimi nakunasihini kwa jambo moja tu - ya kwamba msimame kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, wawili-wawili na mmoja-mmoja; kisha mfikiri. Mwenzenu huyu hana wazimu. Yeye si chochote ila ni Mwonyaji kwenu kabla ya kufika adhabu kali} Sadaqa Allah Al3adhim [Sabaa:46].
Na Alafu Mutajuwa Kuwa Yeye Anakusudia Kwa Kauli Yake Mathna Yani Nambari Mbili Hmana Shaka Wala Utetanishi, Kwakuwa Alfurada Anakusudia Ni Moja, Kwajili Ya Hivo Akasema Allah Ta3ala:
ولذلك قال الله تعالى: { قُلْ إِنَّمَا أَعِظُكُمْ بِوَاحِدَةٍ أَنْ تَقُومُوا لِلَّهِ مَثْنَىٰ وَفُرَادَىٰ } صدق الله العظيم
{ Sema Mimi Nakunasihu Kwa Jambo Moja Tu Kwamba Musmame Kwajili Ya Allah Waili Waili Na Moja Moja}Sadaqa Allah Al3adhim, Na Nastanbat Kutokana Na Hi Bayana Inakusudia Kwa Kauli Yake{مَثْنَىٰ وَفُرَادَىٰ }Nayo Ni Idadi Moja Na Mbili, Na Kadhalika Imekuja Kufafanuwa Kwa Wake Wa Al'Nabi Kwa Walio Huru Basi Amihalalisha Allah Kwake Aowe Wa'Inne Pekeyake Na Kinacho Miliki Kulia Kwake, Na Alafu Akaharamisha Allah Juu Yake Abadilishe Badaliyake Kwa Wake Wengine Hata Kama Ami'Pendezwa Na Uzuri Wake, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى: { يَا أَيُّهَا النّبي إِنَّا أَحْلَلْنَا لَكَ أَزْوَاجَكَ اللَّاتِي آتَيْتَ أُجُورَهُنَّ وَمَا مَلَكَتْ يَمِينُكَ مِمَّا أَفَاءَ اللَّهُ عَلَيْكَ وَبَنَاتِ عَمِّكَ وَبَنَاتِ عَمَّاتِكَ وَبَنَاتِ خَالِكَ وَبَنَاتِ خَالَاتِكَ اللَّاتِي هَاجَرْنَ مَعَكَ وَامْرَأَةً مُؤْمِنَةً إِنْ وَهَبَتْ نَفْسَهَا لِلنَّبِيِّ إِنْ أَرَادَ النّبي أَنْ يَسْتَنْكِحَهَا خَالِصَةً لَكَ مِنْ دُونِ الْمُؤْمِنِينَ قَدْ عَلِمْنَا مَا فَرَضْنَا عَلَيْهِمْ فِي أَزْوَاجِهِمْ وَمَا مَلَكَتْ أَيْمَانُهُمْ لِكَيْلَا يَكُونَ عَلَيْكَ حَرَجٌ وَكَانَ اللَّهُ غَفُورًا رَحِيمًا (50) تُرْجِي مَنْ تَشَاءُ مِنْهُنَّ وَتُؤْوِي إِلَيْكَ مَنْ تَشَاءُ وَمَنِ ابْتَغَيْتَ مِمَّنْ عَزَلْتَ فَلَا جُنَاحَ عَلَيْكَ ذَلِكَ أَدْنَى أَنْ تَقَرَّ أَعْيُنُهُنَّ وَلَا يَحْزَنَّ وَيَرْضَيْنَ بِمَا آتَيْتَهُنَّ كُلُّهُنَّ وَاللَّهُ يَعْلَمُ مَا فِي قُلُوبِكُمْ وَكَانَ اللَّهُ عَلِيمًا حَلِيمًا (51) لَا يَحِلُّ لَكَ النِّسَاءُ مِنْ بَعْدُ وَلَا أَنْ تَبَدَّلَ بِهِنَّ مِنْ أَزْوَاجٍ وَلَوْ أَعْجَبَكَ حُسْنُهُنَّ إِلَّا مَا مَلَكَتْ يَمِينُكَ وَكَانَ اللَّهُ عَلَى كُلِّ شَيْءٍ رَقِيبًا (52) } صدق الله العظيم [الأحزاب]
Allah Ta3ala Asema:{Ewe Nabii! Tumekuhalalishia wake zako ulio wapa mahari yao, na ulio wamiliki kwa mkono wako wa kulia katika alio kupa Mwenyezi Mungu, na mabinti ami zako, na mabinti wa shangazi zako, na mabinti wa wajomba zako, na mabinti wa dada za mama yako walio hama pamoja nawe; na mwanamke Muumini akijitoa mwenyewe kwa Nabii, kama mwenyewe Nabii akitaka kumwoa. Ni halali kwako wewe tu, si kwa Waumini wengine. Sisi tunajua tuliyo wafaridhia wao katika wake zao na wanawake ilio wamiliki mikono yao ya kulia. Ili isiwe dhiki kwao. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu(50)Unaweza kuakhirisha zamu kwa umtakaye katika wao, na umsogeze umtakaye. Na kama ukimtaka yule uliye mtenga, basi si vibaya kwako. Kufanya hivi kutapelekea yaburudike macho yao, wala wasihuzunike, na wawe radhi juu ya kile unacho wapa wao wote. Na Mwenyezi Mungu anajua yaliyomo nyoyoni mwenu, na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye hikima(51)Baada ya hawa hawakuhalalikii wewe wanawake wengine, wala kuwabadilisha kwa wake wengine ingawa uzuri wao ukikupendeza; isipo kuwa yule uliye mmiliki kwa mkono wako wa kulia. Na Mwenyezi Mungu anachungua kila kitu(52)} .
Na Dalili Ya Kufafanuwa Kwa Wake Wa Al'Nabi Nayo Iko Kwenye Kauli Allah Ta3ala:
{ لَا يَحِلُّ لَكَ النِّسَاءُ مِنْ بَعْدُ وَلَا أَنْ تَبَدَّلَ بِهِنَّ مِنْ أَزْوَاجٍ وَلَوْ أَعْجَبَكَ حُسْنُهُنَّ إِلَّا مَا مَلَكَتْ يَمِينُكَ وَكَانَ اللَّهُ عَلَى كُلِّ شَيْءٍ رَقِيبًا (52) } صدق الله العظيم
Allah Ta3ala Asema{Baada ya hawa hawakuhalalikii wewe wanawake wengine, wala kuwabadilisha kwa wake wengine ingawa uzuri wao ukikupendeza; isipo kuwa yule uliye mmiliki kwa mkono wako wa kulia. Na Mwenyezi Mungu anachungua kila kitu(52)} .
Basi Imebaki Idadi Hasa Madhbuti Ambao Ametoa Idhni Allah Kwa Nabi Wake Kua Asipite Katika Idadi Ya Wake Zake Huru Katika Wale Alio Wanigilia Na Wale Ambao Anataka Ku'Owa Katika Banati Khalezake Na Nanati Wa Mashangazi Zake Ili Itimu Idadi Ya Wake Walio Ruhusiwa Kwake Ama Mwanamke Amejitolea Mwenyewe Kwa Al'Nabi Na Imebaki Idadi Ambao Haipasi Kwa Nabi Ba'Ada Ya Hao Wanawake Na Mutaipata Katika Kauli Ya Allah Ta3ala
{ فَانكِحُواْ مَا طَابَ لَكُم مِّنَ النِّسَاء مَثْنَى وَثُلاَثَ وَرُبَاعَ فَإِنْ خِفْتُمْ أَلاَّ تَعْدِلُواْ فَوَاحِدَةً } صدق الله العظيم [النساء:3]
Allah Ta3ala Asema:{basi oeni mnao wapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisa:3].
Na Vipi Atawakataza Muhammad Mtume Wa Allah Wasiowe Zaidi Ya Wanawake Wanne Huru ! Na Wala Haitakiwi Kwa Nabi Na Ma'Nabi Kuwa Waharamishe Kwa Waumini Kitu Na Waihalalishe Juu Ya Nafsi Zao, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى:
{ قَالَ يَا قَوْمِ أَرَأَيْتُمْ إِنْ كُنْتُ عَلَىٰ بَيِّنَةٍ مِنْ رَبِّي وَرَزَقَنِي مِنْهُ رِزْقًا حَسَنًا وَمَا أُرِيدُ أَنْ أُخَالِفَكُمْ إِلَىٰ مَا أَنْهَاكُمْ عَنْهُ } صدق الله العظيم [هود:88]
Allah Ta3ala Asema:{Akasema: Enyi watu wangu! Mwaonaje ikiwa ninayo dalili wazi inayo tokana na Mola wangu Mlezi, na ikawa Yeye ameniruzuku riziki njema kutoka kwake? Wala mimi sipendi kukukhalifuni nikafanya yale ninayo kukatazeni. Sitaki ila kutengeneza kiasi ninavyo weza. Na sipati kuwezeshwa haya ila na Mwenyezi Mungu. Kwake Yeye ninategemea, na kwake Yeye naelekea}Sadaqa Allah Al3adhim[Hud:88].
Na Hakuna kwa Ma Nabi Kanuni Ya Kutowa Sharia Ispokuwa Ile Sharia Alio Weka Allah Kwa Waumini Waifwate, Ispokuwa Ame'Haramisha Kwa Waumini Ku'Owa Wanawake Wa Manabi Wao Ba'Ada Yao Kwakuwa Ni Mama Zao, Na Hivo Hivo Ameharamisha Allah Kwa Ma'Nabi Wawa'Taliki Kutoka Nafsi Zao Ispokuwa Wakipatikana Na Machafu Yalio Wazi Ama Waombe Kwa Ma'Manabi Wa Allah Talaka, Na Atakae Kuomba Kwa Moja Kati Ya Ma'Nabi Talaka Alafu Akamwacha Akampeleka Kwao Kwa Njia Mzuri Basi Hi Yaonesha Kuwa Mwanamke Huyo Hataki Allah Na Mtume Wake Wala Hana Kheri Ndani Yake Basi Amertadi Kutokana Na Imani Kwa Ukafiri Wala Hataki Allah Wala Mtume Wake, Wala Sio Halali Kwa Waumin Yoyote Amowe, Wala Sio Sababu Kuwa Ni Mama zao Bali Kwakuwa Amertadi Kutoka Kwa Imani Kwenda Kwa Kufru Wala Hamtaki Allah Na Mtume Wake, Kwajilo Ya Hivo Ame'Mwamuru Allah Nabi Wake Awambie Wake Zake:
أن يقول لزوجاته: { يَا أَيُّهَا النّبي قُل لِّأَزْوَاجِكَ إِن كُنتُنَّ تُرِدْنَ الْحَيَاةَ الدُّنْيَا وَزِينَتَهَا فَتَعَالَيْنَ أُمَتِّعْكُنَّ وَأُسَرِّحْكُنَّ سَرَاحًا جَمِيلًا (28) وَإِن كُنتُنَّ تُرِدْنَ اللَّهَ وَرَسُولَهُ وَالدَّارَ الْآخِرَةَ فَإِنَّ اللَّهَ أَعَدَّ لِلْمُحْسِنَاتِ مِنكُنَّ أَجْرًا عَظِيمًا (29) } صدق الله العظيم [الأحزاب]
Allah Ta3ala Asema:{Ewe Nabii! Waambie wake zako: Ikiwa mnataka maisha ya dunia na pambo lake, basi njooni, nitakupeni kitoka nyumba, na kukuacheni mwachano mzuri(28)Na ikiwa mnamtaka Mwenyezi Mungu na Mtume wake na nyumba ya Akhera, basi Mwenyezi Mungu amewaandalia wafanyao mema, miongoni mwenu, malipo makubwa(29)}Sadaqa Allah Al3adhim[Alahzab].
Na Haja'Mharamisha Allah Nabi Wake Aowe Badala Yao Pindi Wakitaka Talaka Wenyewe, Ndio Itampasa Kwake Aowe Badala Ya Yule Alio Taka Talaka, Kwajili Ya Hivo Akasema Allah Ta3ala:
ولذلك قال الله تعالى:
{ عَسَى رَبُّهُ إِنْ طَلَّقَكُنَّ أَنْ يُبْدِلَهُ أَزْوَاجًا خَيْرًا مِنْكُنَّ مُسْلِمَاتٍ مُؤْمِنَاتٍ قَانِتَاتٍ تَائِبَاتٍ عَابِدَاتٍ سَائِحَاتٍ ثَيِّبَاتٍ وَأَبْكَارًا } [التَّحريم:5]
Allah Ta3ala Asema:{Asaa Mola wake Mlezi, akikupeni talaka, akampa wake wengine badala yenu nyinyi, walio bora kuliko nyinyi, wanynyekevu, Waumini, wat'awa, walio tubu, wenye kushika ibada, wafanyao kheri, wajane na wanawari} Sadaqa Allah Al3adhim[Al'Tahrim].
Na Hapa Inabainika Kwenu Vipi Kua Allah Amehalalisha Kwa Mtume Wake Kubadilisha Kwa Moja Ya Wake Zake Kwa Sharti Kuwa Yeye Ndio Mwenye Kutaka Talaka, Lakini Akimpa Talaka Mwenyewe Nafsi Yake Ili Abadilishe Mwengine Basi Haimpasi Kwa Nabi Kwakuwa Hatopata Mwenye Kumowa Ba'Ada Yake, Kwajili Ya Hivo Amesema Allah Ta3ala:
قال الله تعالى:
{ لَا يَحِلُّ لَكَ النِّسَاءُ مِنْ بَعْدُ وَلَا أَنْ تَبَدَّلَ بِهِنَّ مِنْ أَزْوَاجٍ وَلَوْ أَعْجَبَكَ حُسْنُهُنَّ } صدق الله العظيم [الأحزاب:52]
Allah Ta3ala Asema{Baada ya hawa hawakuhalalikii wewe wanawake wengine, wala kuwabadilisha kwa wake wengine ingawa uzuri wao ukikupendeza} Sadaqa Allah Al3adhim[Al'Ahzab:52].
Na Imebainika Kwenu Nambari Ya Wake Wa Al'Nabi Pindi Ikipungua Iwe Ametaka Talaka Kwake Akamtaliki Ama Amekufa Basi Inampasa Yeye Kuowa Badali Yake Katika Wanawake Waumini, Ispokuwa Ameharamisha Kwa Ma'Nabi Kuwa'Taliki Wake Zao Kutokana Na Nafsi Zao Wenyewe Kwakuwa Kwenye Kitendo Hiko Dhulma Juu Ya Mwanamke Kwajili Yeye Hato'Pata Mwenye Ku'Mowa Ba'Ada Yake Katika Waumini Kwakuwa Ni Katika Mamazao, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى: { النَّبِيُّ أَوْلَىٰ بِالْمُؤْمِنِينَ مِنْ أَنْفُسِهِمْ وَأَزْوَاجُهُ أُمَّهَاتُهُمْ } صدق الله العظيم [الأحزاب:6]
Allah Ta3ala Asema:{Al'Nabi Ni Awula Kwa Waumini Kuliko Nafsi Zao Na Wake Zake Ni Mamazao}Sada Allah Al3adhim[Alahzan:6].
Na Salam Juu Ya Mitume, Na Al'Hamdulillah Rabil Al'Alamin..
Ndugu Yenu Al'ImamAl'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
وسلامٌ على المرسلين والحمد لله رب العالمين..
أخوكم الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
ــــــــــــــــــــ
ــــــــــــــــــــ