Hakika Ya AlQuran Ni Maneno Ya AlRahman Ina Ufafanuzi Wa Kila Kitu katika uhakika Ya Watu Na Uhakika Wa Ulimwengu ..
إن القرآن كلام الرحمن فيه تفصيل لكل شيءٍ في حقائق البشر وحقائق الكون ..
الإمام المهدي ناصر محمد اليماني
14 - 02 - 1430 هـ
10 - 02 - 2009 مـ
12:34 صباحاً
ــــــــــــــــــــ
مصدر البيان:
Bisimillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Swala na Salam Juu ya Khtm Al'Anbia Wa Al'Murasalin Na Alihim Walio Wazuri Walio Tahirika Na Walio Fwata Mpaka Siko Ya Mwisho, Ama Ba'Ada Ya Hapo..
Mimi Nakuona Unatafakari katika kitabu Cha Allah na nataka kutengeneza fikra zako kwa haki na nikuongoze kwa haki kwenye njia ya Al3aziz Al'Hamid, Na ama kuhusu kujulisha Kwa Maneno ya Allah basi inakua na Ilimu ya gheibu Uhakika katika wakii hivi twona hakika na miongoni mwake habari ya wale kabla yenu na miongoni mwake habari zenu na miongoni mwake habari ya wale ba'ada yenu mpaka siku watakapo simama watu mbele ya Mola Mlezi wa Ulimwengu, Na alafu inafwata habari ya akhera na matokeo ya wanao'iyamini na wanao'ikufuru Kabla basi washuhudie matokeo ya ilimu yake yaghaibu katika waki ukweli wa mambo ulivo kwenye uhakika wake, Na kwajili ya hivo wanasema, Amasema Allah Ta3ala:
{ هَلْ يَنْظُرُونَ إِلَّا تَأْوِيلَهُ يَوْمَ يَأْتِي تَأْوِيلُهُ يَقُولُ الَّذِينَ نَسُوهُ مِنْ قَبْلُ قَدْ جَاءَتْ رُسُلُ رَبِّنَا بِالْحَقِّ } صدق الله العظيم [الأعراف:53]
Allah Ta3ala Asema:{ Hawangojei ila matokeo yake. Siku yatakapotokea matokeo yake, watasema wale walioisahau hapo zamani Hakika Mitume wa Mola Wetu walileta haki } Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf:53].
Kwahivo Ma Aya Ambao ina Ndani yake Maneno Ya Allah Kuhusu Akhera ili kuifikia Allah Maneno Yake kwa wakiia ya uhakika, Na ama ma Aya ambao ina ndani yake Maneno Ya Allah kuhusu habari ya watu wa mwanzo basi nayo habari ni katika sahihi sana kwenye ukweli iwe sawa habari ya waumini ama makafiri, Kusadikisha kauli ya Alah Ta3ala:
{ ذَلِكَ مِنْ أَنبَاء الْغَيْبِ نُوحِيهِ إِلَيكَ وَمَا كُنتَ لَدَيْهِمْ إِذْ يُلْقُون أَقْلاَمَهُمْ أَيُّهُمْ يَكْفُلُ مَرْيَمَ وَمَا كُنتَ لَدَيْهِمْ إِذْ يَخْتَصِمُونَ } صدق الله العظيم [آل عمران:44].
Allah Ta3ala Asema:{ Hizi ni habari za ghaibu tunazokupa wahyi; nawe hukuwa nao walipotupa kalamu zao nani katika wao atamlea Maryam na hukuwa nao walipokuwa wakishindana} Sadaqa Allah Al3adhim [Alimran:44].
Na kadhalika kuhusu kisa cha Yusuf Na Nduguzake, Kusadikisha Kauli ya Allah Ta3ala:
{ ذَلِكَ مِنْ أَنْبَاء الْغَيْب نُوحِيه إِلَيْك وَمَا كُنْت لَدَيْهِمْ إِذْ أَجْمَعُوا أَمْرَهُمْ وَهُمْ يَمْكُرُونَ } صدق الله العظيم [يوسف:102].
Allah Ta3ala Asema:{ Hayo ni katika habari za ghaibu tulizokupa wahyi. Na hukuwa pamoja nao walipoazimia shauri lao wakipanga njama} Sadaqa Allah Al3adhim [ Yusuf 102]. Na kadhalika visa va ma umma wa mwanzo Wakiwa na Mitume Wa Mola Mlezi Wao na vipi iliendele mazungumzo baina yao wakakufuru Akatueleza Allah vipi alivo wafanya na wapi Amewapeleka.
Na Ewe Ndugyangu unae uliza Kwamba Hakika Ya Al'Quran Ni Maneno Ya Al'Rahman Ina Ufafanuzi Wa Kila Kitu Katika Uhakika Ya Watu Na Uhakika Wa Ulimwengu, Na ukweli katika Dunia Ukweli wa Akhira Na Ukweli Katika Visa, Na Fatwa Za Kifikhi Na Za Kiakida Na Za Mipaka Na Kupanga Maisha Kwa Watu Kwenye Ardhi Na inaamuru Kheri Na inakataza Munkar Mpaka Waishi Wanadamu Kwa Amani Kutokana Na Shari Ya Badhi Yao Juu Ya Badhi, Na Hata Pia imeweka Mipangilio Ya Familia, Na Adabu, Na inatufundisha Khulka Njema; Bali Al'Quran Ni Rahma Ya Ulimwengu Ewe Unae'Ulizia, Ipeleleze tadabar na utapata inao ukweli kwenye Dunia Tunaikuta Sa Hi, Na inao ukweli tutaipata Akhira, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala;
{ وَلَقَدْ جِئْنَاهُم بِكِتَابٍ فَصَّلْنَاهُ عَلَى عِلْمٍ هُدًى وَرَحْمَةً لِّقَوْمٍ يُؤْمِنُونَ (52) هَلْ يَنظُرُونَ إِلاَّ تَأْوِيلَهُ يَوْمَ يَأْتِي تَأْوِيلُهُ يَقُولُ الَّذِينَ نَسُوهُ مِن قَبْلُ قَدْ جَاءتْ رُسُلُ رَبِّنَا بالحقّ فَهَل لَّنَا مِن شُفَعَاء فَيَشْفَعُواْ لَنَا أَوْ نُرَدُّ فَنَعْمَلَ غَيْرَ الَّذِي كُنَّا نَعْمَلُ قَدْ خَسِرُواْ أَنفُسَهُمْ وَضَلَّ عَنْهُم مَّا كَانُواْ يَفْتَرُونَ (53) إِنَّ ربّكم اللّهُ الَّذِي خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالأَرْضَ فِي سِتَّةِ أَيَّامٍ ثُمَّ اسْتَوَى عَلَى الْعَرْشِ يُغْشِي اللَّيْلَ النَّهَارَ يَطْلُبُهُ حَثِيثاً وَالشَّمْسَ وَالْقَمَرَ وَالنُّجُومَ مُسَخَّرَاتٍ بِأَمْرِهِ أَلاَ لَهُ الْخَلْقُ وَالأَمْرُ تَبَارَكَ اللّهُ ربّ العالمين (54) ادْعُواْ ربّكم تَضَرُّعاً وَخُفْيَةً إِنَّهُ لاَ يُحِبُّ الْمُعْتَدِينَ (55) وَلاَ تُفْسِدُواْ فِي الأَرْضِ بَعْدَ إِصْلاَحِهَا وَادْعُوهُ خَوْفاً وَطَمَعاً إِنَّ رَحْمَتَ اللّهِ قَرِيبٌ مِّنَ الْمُحْسِنِينَ (56) وَهُوَ الَّذِي يُرْسِلُ الرِّيَاحَ بُشْراً بَيْنَ يَدَيْ رَحْمَتِهِ حَتَّى إِذَا أَقَلَّتْ سَحَاباً ثِقَالاً سُقْنَاهُ لِبَلَدٍ مَّيِّتٍ فَأَنزَلْنَا بِهِ الْمَاء فَأَخْرَجْنَا بِهِ مِن كلّ الثَّمَرَاتِ كَذَلِكَ نُخْرِجُ الْموْتَى لَعَلَّكُمْ تَذَكَّرُونَ (57) } صدق الله العظيم [الأعراف]
Allah Ta3ala Asema:{ Na hakika tumewaletea Kitabu tulichokipambanua kwa ujuzi, ambacho ni mwongozo na rehema kwa watu wanaoamini (52) Hawangojei ila matokeo yake. Siku yatakapotokea matokeo yake, watasema wale walioisahau hapo zamani: Hakika Mitume wa Mola Wetu walileta haki. Je, tunao waombezi watuombee; au turudishwe ili tufanye yasiyokuwa yale tuliyokuwa tukiyafanya? Hakika wamejitia hasarani nafsi zao na yamewapotea waliyokuwa wakiyazua (53) Hakika Mola Wenu ni Mwenyezi Mungu aliyeziumba mbingu na ardhi katika siku sita; kisha akatawala kwenye Arshi. Huufunika usiku kwa mchana, ufuatiao upesi upesi. Na jua na mwezi na nyota zinatumika kwa amri Yake. Fahamuni! Kuumba na amri ni Yake. Ametukuka Mwenyezi Mungu Mola wa walimwengu wote (54) Mwombeni Mola Wenu kwa unyenyekevu na kwa uficho. Hakika Yeye hawapendi wapetukao mipaka (56) Wala msifanye ufisadi katika ardhi baada ya kutengenea kwake; na mwombeni kwa kuogopa na kwa kutumai. Hakika rehema ya Mwenyezi Mungu iko karibu na wanaofanya mema (57)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf].
Na utadabar kupeleleza Katika Maneno Ya Allah alafu tabikisha Maneno Yake kwa ilioko mbele ya mikono yako na kilioko nyuma yako Kwenye Mbingu Na Ardhi, Na Alafu Sema Ewe Mola Wangu Hujaumba Hi Batili Umitukuka Tuepushe Na Adhabu Ya Moto, Na Ama Fikra Zako ambo unafikiria ndani yake basi nakupa fatwa kwa haki kua ni kipito cha Shetan wala sio kutoka kwa Al'Rahman ili akuingize kwenye upotevu mpaka usitoke kwa matokeo kutokana na kutafakari na kupeleleza kwa Maneno Ya Allah Na Maneno Ya Allah Inasema Kweli, Na Nani Ana Ukweli Kuliko Allah kwa Maelezo Katika kila Anacho Sema kwa Sahihi Sana Kuhusu Visa Na Habari na Matokeo ukweli Ulopita na Hivi sasa Na ya Mbeleni Yani Ukweli Mkubwa?! Na Ama Kuhusu Vitendo Va Watu Basi Hapo Kuna Malaika Wawili Wako Pamoja Na Kila Mtu Wana Andika Kila Domgo Na Kubwa Na Inatoka kwake Siku Ya Kiyama Kitabu Atakacho kikuta kiwazi kimekunjuliwa. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ وَنُخْرِجُ لَهُ يَوْمَ الْقِيَامَةِ كِتَابًا يَلْقَاهُ مَنْشُورًا }
صدق الله العظيم [الإسراء:13].
Allah Ta3ala Asema:{Na Siku ya Kiyama tutamtolea kitabu atakacho kikuta kiwazi kimekunjuliwa} Sadaqa Allah Al3adhim [Alisra:13].
Na Alafu Anasema:
{ وَيَقُولُونَ يَا وَيْلَتَنَا مَالِ هَذَا الْكِتَابِ لَا يُغَادِرُ صَغِيرَةً وَلَا كَبِيرَةً إِلَّا أَحْصَاهَا وَوَجَدُوا مَا عَمِلُوا حَاضِرًا وَلَا يَظْلِمُ ربّك أَحَدًا } صدق الله العظيم [الكهف:49]
Allah Ta3ala Asema:{ Na watasema: Ole wetu! Kitabu hichi kina nini! Hakiachi dogo wala kubwa ila huliandika? Na watayakuta yote waliyo yatenda yamehudhuria hapo. Na Mola wako Mlezi hamdhulumu yeyote} Sadaqa Allah Al3adhim [Alkahf:49].
Na Usione Wale Ambao Wanaiwekea Uzito
kuifahamu Hi Al'Quran Juu Ya Watu Uzito mkubwa basi usione kwamba wao Watokoka Kutokana Na Adhabu Mimi Hakika Kwako Ni Katika Wanokunasihi!
Na Ba'adhi ya waumini wanaihama Al'Quran Kwa Hoja Yakua Anisoma Na Kuguguta Na Anamwambia Yeye Shetani Hi Ni Maneno Ya Allah Basi Haijuzu Kwako Kuikatakata! Lakini Mimi natowa Fatwa Hakika Yule Anisoma Nayo Juu Yake Ni ngumu ano kwa kila harufu Jema moja, Na ama kuisoma kwake kwenye Swala Basi Kila Harufu Jema Na Jema Kwa Kumi Mfano Wake, Na Ama Kwenye Nafli Na Kutadabur Basi Harufu Jema mara Mia saba, Na lau la Kwamba Allah Amejua miongoni mwenu wangonjwa na wengine wanatapa Katika Aradhi wanatafuta maisha Na katika njia Ya Allah Basi Angewa'Amuru Kuisoma Usiku Na Mchana Hakuna kitakacho wachelewesha nayo ispokua Kwakula Ama Kujisaidia Ama Kulala, Kusadikisha Kauli Ya Alla Ta3ala:
: { إِنَّ ربّك يَعْلَمُ أَنَّكَ تَقُومُ أَدْنَى مِنْ ثُلُثَي اللَّيْلِ وَنِصْفَهُ وَثُلُثَهُ وَطَائِفَةٌ مِنْ الَّذِينَ مَعَكَ وَاللَّهُ يُقَدِّرُ اللَّيْلَ وَالنَّهَارَ عَلِمَ أَنْ لَنْ تُحْصُوهُ فَتَابَ عَلَيْكُمْ فَاقْرَأوا مَا تَيَسَّرَ مِنْ القرآن عَلِمَ أَنْ سَيَكُونُ مِنْكُمْ مَرْضَى وَآخَرُونَ يَضْرِبُونَ فِي الأَرْضِ يَبْتَغُونَ مِنْ فَضْلِ اللَّهِ وَآخَرُونَ يُقَاتِلُونَ فِي سَبِيلِ اللَّهِ فَاقْرَأوا مَا تَيَسَّرَ مِنْهُ وَأَقِيمُوا الصَّلاةَ وَآتُوا الزَّكَاةَ وَأَقْرِضُوا اللَّهَ قَرْضاً حَسَناً وَمَا تُقَدِّمُوا لأَنْفُسِكُمْ مِنْ خَيْرٍ تَجِدُوهُ عِنْدَ اللَّهِ هُوَ خَيْراً وَأَعْظَمَ أَجْراً وَاسْتَغْفِرُوا اللَّهَ إِنَّ اللَّهَ غَفُورٌ رَحِيمٌ } صدق الله العظيم [المزمل:20]
Allah Ta3ala Asema:{ Hakika Mola Wako Mlezi Anajua Kwamba Wewe Unamka Chini Ya Thuluthi Ya Usiku Na Nusu Yake Na Thuluthi Yake Na Poti Katika Wale Walioko Na Wewe Na Allah Anakadiri Isiku Na Mchana Amejua Hamtoweza Kuimaliza Akawatubia Basi Mtakavo weza Katika Al'Quran Amejua Kwamba Kutakua Na Wangonjwa Na Wengine Wanapigana Katika Njia Ya Mwenyezi Mungu Basi Isomeni Kwa wepesi nayo Na Musmamishe Swala Na Mutowe Zaka Na Mumkopeshe Allah Mkopo Mzuri Na ile Mtakao Tangulize Kwa Nafsi Zenu kutokana Na Kheri Mutaipata kwa Allah Ni Kheri Bora Na Ujira Mkubwa Na Mutake Msamaha Hakika Allah Ni Ghafurun Rahimon} Sadaqa Allah Al3adhim [ Almuzamil :20].
Na Nakunasihi Kutadabar Kwa Maneno Ya Allah Kwa Kutafakari Kwenye Uhakika Wa Aya Zake Baina Ya Mikono Yako Na Katika Kumba Mbingu Na Ardhi, Na Uwanze Kutafakari Katika Nafsi Yako Basi Wewe Kwenye Aya Za Mola Wako Na Kutokana Na Uhakika Wa Maneno Ya Allah Katika Al'Quran, Kisadikisha Kauli Ya Allah:
{ وَفِي الْأَرْضِ آَيَاتٌ لِلْمُوقِنِينَ (20) وَفِي أَنْفُسِكُمْ أَفَلَا تُبْصِرُونَ (21) وَفِي السَّمَاءِ رِزْقُكُمْ وَمَا تُوعَدُونَ (22) فَوَرَبِّ السَّمَاءِ وَالْأَرْضِ إِنَّهُ لَحَقٌّ مِثْلَ مَا أَنَّكُمْ تَنْطِقُونَ } صدق الله العظيم [الذاريات]
Allah Ta3ala Asema:{Na Katika Ardhi Ma Aya Ya Wanao Yakini (20) Na Katika Nafsi Zenu Hivi Hamuoni (21) Na Kutoka Mbinguni Rizki yenu Na Yale Munao Ahidiwa (22) Basi Hakika Ya Mola Mlezi Wa Mbingu Na Ardhi Hakika Ni Haki Kama Munavo Uongea} Sadaqa Allah Al3adhim [Al'Dhariyat].
Na Kwa hayo UKatafakari Utatoka Kwa Natija Kubwa Nayo Ni Uongofu kwa Haki Basi Atanyosha Allah Nayo Kifuoa Chako Na Atakunawirishia Allah Nayo Kifuwa Chako Na Anakunawirishia Allah Nayo Moyo Wako Na Akuongoze Nayo Kwa Njiya Ilionyoka.
Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabi Al3alamin..
Ndugu Yenu Al'Imam Ak'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
أخوك الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
ـــــــــــــــــــ