الإمام ناصر محمد اليماني.
ـــــــــــــــــــ
وسأل سائلٌ:
ما دليلك على أنّك الإمام المهديّ المنتظَر؟ وأجاب الذى عنده علم الكتاب فقال :
إني لم أكن أعلم عن شأن الأئمة شيئاً وكنت لا أملك من العلم إلا كعامة النّاس من المُسلمين ولست من العلماء، وذات ليلة رأيت أني في مركز عشرةٍ من الرجال وكانوا علي شكل دائري، ومن ثم قلت لهم دلّوني على الإمام علي بن أبي طالب، ومن ثم تراجع أحدهم كان أمام وجهي خطوةً إلى الخلف ثم خطوةً إلى الجنب وقال: ذلك الإمام علي بن أبي طالب وكان خارج دائرة العشرة، ومن ثم انطلقت نحوه وأمسكت يده بيداي الاثنتين وقلت له: دُلّني على مُحمدٍ رسول الله صلّى الله عليه وآله وسلّم، ومن ثم أخذني إلى عمود يتوسط الغرفة التي كنّا فيها وإذا بمُحمدٍ رسول الله -صلّى الله عليه وآله وسلّم- جالس بجانبه ومُتكئ بظهره إلى العمود ومن ثم جثمت عليه وجعلت وجهي في عنقه وقبلته قُبلات عديدة وجلست إلى جانبه وأفتاني في شأني، ولكن محمد رسول الله يعلم أنّ الرؤيا تُخصّ صاحبها ولكنه قال: [وما جادلك أحد من القرآن إلا غلبته].
ـــــــــــــــــــــــ
انتهت الرؤيا بالحقّ.
وعلمت من خلال الرؤيا أنّ العشرة الذين كانوا يحيطون بي بشكل دائريٍّ إنما هم أئمة آل البيت من ذُريّة الإمام علي بن أبي طالب، وأمّا الإمام خليفة الله من بعد رسوله فكان خارج دائرة العشرة فأصبح تعدادهم أحد عشر إماماً من آل البيت، وعلمت إني الإمام الثاني عشر من آل البيت من ذُريّة الإمام علي بن أبي طالب عليه الصلاة والسلام، وكُنا جميعاً نحن ومحمد رسول الله -صلّى الله عليه وآله وسلّم- في بيتٍ بشكل غرفةٍ واحدةٍ كبيرةٍ والله على ما أقول شهيدٌ ووكيلٌ.
غير إني أحذّرك أيها السائل أن تُصدق بأني المهديّ المُنتظَر الإمام الثاني عشر من آل البيت المطهّر ما لم تجد التصديق للرؤيا بالحقّ على الواقع الحقيقي بأنّ الله زادني بسطةً في العلم بالبيان الحقّ للذكر فلا يُجادلني عالِمٌ من القرآن إلا غلبته بسُلطان العلم الحقّ المُقنع الذي لا يستطيع أن يُجادل فيه شيئاً فيُسلّمُ تسليماً إن كان يؤمن بالقرآن العظيم، وذلك لأنّ مُحمداً رسول الله -صلّى الله عليه وآله وسلّم- قال لي في الرؤيا إنه لن يُجادلني أحدٌ من القرآن إلا غلبته، بمعنى أنه لن يُجادلني عالِمٌ من القرآن إلا غلبته بسلطان العلم، والحَكَمُ طاولةُ الحوار بُسلطان العلم بالبيان الحقّ للذكر، فهل من مُدَّكّر ومُصدّقٌ أني الإمام المهديّ المُنتظَر الإمام الثاني عشر من آل البيت المطهّر؟
ولم يُعلّمني الله ورسوله بأسمائهم لأنّ أسماءهم لا تهم؛ بل الحكمة في تبيان عددهم وذلك لكي أعلم أني الإمام الثاني عشر من آل البيت المطهّر، ولو وُجدوا لما وسعهم إلا أن يتبعوني جميعاً، وفوق كُلّ ذي علمٍ عليم.
وسلامٌ على المُرسلين، والحمدُ لله ربّ العالمين..
خليفة الله الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
الصراط___________________________ المستقيم
(((( الناصر لكتاب الله وسنة رسوله الحق الإمام ناصر محمد اليماني))))
ــــــــــــــــــ
وسأل سائلٌ:
ما دليلك على أنّك الإمام المهديّ المنتظَر؟ وأجاب الذى عنده علم الكتاب فقال :
Na Akauliza Mulizaji: Nini Dalili Yako Kwamba Wewe Ni Al'imam Al'Mahdi Al'Muntadhar?
Na Akajibu Ambae Anao Ilimu Ya Kitabu Akasema
Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani.
https://mahdialumma.net./showthread.php?t=2005
______________
Hakika Mimi Sikua Najua Kuhusu Ma'imamu Kitu Na Nilikua Sina Ilmu Ispokua Kama Watu Kawaida Katika Waislamu Wala Sio Katika Wanazuoni,
Na Siku Moja Nimeona Kua Mimi Niko Katika Kituo Katika Wanaume Kumi Na Walikua Wamesimama Kama Duwara, Alafu Nikwambia Nionesheni Al'Imam Ali Ibnu Abi Twalib, Alafu Akarudi Nyuma Moja Wao Alikua Mbele Ya Uso Wangu Khatua Moja Nyuma Alafu Khatua Moja Upande Akasema: Yule Al'Imam Ali Ibnu Abi Twalib Na Alikua Kando Na Mduwara Ya Wale Kumi, Alafu Nikalekea Kwake Nikashika Mkono Wake Kwa Mikono Yangu Miwili Nikamwambia Yeye: Nioneshe Muhammad Mtume Wa Allah Swala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam, Alafu Akanichukua Kwenye Nguzo Iko Kati Ya Chumba Tulikua Ndani Yake Nikamona Muhammad Mtume Wa Allah-Swala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Ameka Amitegemea Kwa Mngongo Wake Ile Nguzo Alafu Nikaenda Kwake Nikaweka Uso Wangu Kwenye Shingo Yake Nikamshumu Mara Nyingi Sana Nika Ka Karibu Na Yeye Akanipa Fatwa Kuhusu Mimi, Lakini Muhammad Mtume Wa Allah Anajua Kwamba Kuona Ndoto Inamhusu Mwenye Kuiona Lakini Akaniambia: [Wala Hatokujadili Yoyote Katika Al'Quran Ispokua Utamshinda]
____________
Imeisha Kuona Kwa Haki.
Nikajua Kutokana Na Hio Ndoto Kwamba Wale Kumi Ambao Wamenizunguka Mfano Wa Duwara Kwamba Wao Ni Ma'Imam Wa Al Albeyt Kutokana Na Kizazi Cha Al'Imam Ali Ibnu Abi Twalib, Na Ama Al'Imam Khalifa Wa Allah Ba'ad Ya Mtume Wa Allah Basi Alikua Kando Na ile Mzunguko Wa Duwara wa Wale Kumi Ikawa Idadi Yao Ni Imamu Kumi Na Moja Kutokana Na Al Albeyt, Nikajua Kwamba Mimi Ndio Al'Imam Wa Kumi Na Mbili Kutokana Na Al Albayt Kutoka Kizazi Cha Al'Imam Ali Ibnu Abi Twalib Juu Yake Swala Na Salam, Na Tulikua Wote Sisi Na Muhammad Mtume Wa Allah- Swala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Kwenye Nyumba Mfano Wa Chumba Kimoja Kikubwa Na Allah Kwa Yale Nayo Yasema Ni Shahidi Na Wakili.
Ispokua Mimi Naku'tahadharisha Ewe Unae Uliza Kwamba Usiamini Kua Mimi Ni Al'Mahdi Al'Muntadhar Al'Imam Wa Kumi Na Mbili Kutoka Kwa Al Albayt Al'Mutahar Pindi Hukupata Kusadiki Kwa Kuona Ndoto Kwa Haki Kwenye Waki Uhakika Kwamba Allah Amenizidisha Zaidi Katika Ilimu Ya Bayana Ya Haki Kwenye Ukumbusho Basi Hatonijadili Mwanachoni Katika Al'Quran Ispokua Nitamshinda Kwa Utawala Wa Ilimu Ya Haki Ambao Inakinaisha Ambao Hawezi Kujadili Nayo Kitu Ndio Asalimu Kusalimu Ikiwa Ana'amini Kwa Al'Quran Al3adhim, Na Hivo Ni Kwajili Muhammad Mtume Wa Allah- Swala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Ameniambia Mimi Kwamba Hakuna Atakae Kukujadili Yoyote Katika Al'Quran Ila Utamshinda, Ma'ana Hakuna Atakae Nijadili Katika Wanazuoni Kwenye Al'Quran ila Nitamshinda Kwa Utawala Wa Ilimu, Na Atakae Hukumu Ni Meza Ya Mazungumzo Kwa Utawala Wa Ilimu Ya Bayana Ya Haki Kwa Ukumbusho, Na Je Kuna Mwenye Kukumbuka Na Mwenye Kusadiki Kua Mimi Ndio Al'Imam Al'Mahdi Al'Muntadhar Al'Imam Al'Thani Ashar Min Al Albeit Al'Mutahar ? Na Hakunijulisha Allah Na Mtume Wake Kwa Majina Yao Kwajili Ya Majina Yao Hayana Umuhimu; Bali Hikma Ya Kubainisha Idadi Yao Na Hivo Ili Nijuwe Kwamba Mimi Ndio Al'Imam Wa Kumi Na Mbili Kutokana Na Al Albeyt Al'Mutahar, Na Lau Wangekuweko Haingewatosha Ispokua Wangenifwata Wote, Na Juu Ya Kila Ilimu Mwenye Ilimu.
Na Salam Juu Ya Mitume, Na Al'Hamdulillah Rabilalamin..
Khalifa Wa Allah Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
Njia________________________ Ilio Nyoka
(((( Al'Nasser Munusura Wa Kitabu Cha Allah Na Sunna Za Mtume Wake Za Kweli Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani))))
____________
اقتباس المشاركة 6645 من موضوع وسأل سائل: ما دليلك على أنّك الإمام المهدى المنتظر؟ وأجاب الذى عنده علم الكتاب فقال
اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..