الموضوع: Fatwa Kutoka Kwa Allah Kwa Kuharamisha Funga Ya Mwezi Wa Ramadhani Mpaka Mushuhudie Kuonekana Mwezi Wa Ramadhani..

النتائج 1 إلى 1 من 1
  1. افتراضي Fatwa Kutoka Kwa Allah Kwa Kuharamisha Funga Ya Mwezi Wa Ramadhani Mpaka Mushuhudie Kuonekana Mwezi Wa Ramadhani..

    Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
    الإمام ناصر محمد اليماني
    30 - شعبان - 1441 هـ
    23 - 04 - 2020 مـ
    12:22 مساءً
    ( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
    https://mahdialumma.net./showthread.php?t=39815
    _______

    فتوى من الله بتحريم صيام شهر رمضان حتى تشهدوا رؤية هلال شهر رمضان..
    Fatwa Kutoka Kwa Allah Kwa Kuharamisha Funga Ya Mwezi Wa Ramadhani Mpaka Mushuhudie Kuonekana Mwezi Wa Ramadhani..

    Bismillah Ala3adhim Al'Jabar Mumba Wa Mbingu Na Ardhi Mwenye kudhibiti harakati ya jua na mwezi ..
    Ne enye ma3ashara wanao toa uwamuzi katika mataifa ya waislamu, Ikiwa bado iko katika vifuwa venu kitone cha uwislamu kwa Mola Mlezi wa ulimwengu basi mujilazimishe na amri Ya Allah kuhusu kuanza funga mwezi wa ramadhani! Hakika Allah Ameharamisha kwenu kua mufunge mwezi wa ramadhani mpaka ithubutu kwenu kuonekana mwandamo wa ramadhani kuthibitisha ki sharia kwa kuonekana kusadikisha Amri ya Allah kwenu katika ilio wazi maana yake kitabu chake Al'Quran Al3adhim Kwenye Kauli Ya Allah Ta3ala:
    { atakae uona miongoni mwenu mwezi naafunge } Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara:185];
    { فَمَن شَهِدَ مِنكُمُ الشَّهْرَ فَلْيَصُمْهُ } صدق الله العظيم [البقرة:185]؛
    Yani kwa maana kua Allah Ameharamisha ju yenu kuanza funga ramadhani mpaka muone mwandamo wa mwezi wa ramadhan umeandama kwenu na kila moja kulingana na kilele cha kuzama jua kwao, Basi mwandamo wa mwezi wa radhani ukitokezea ju yao baada kuzama jua la siku ya shirini na tisa shaaban usiku wa thalathini ama baada kuzama jua la thalathini shaaban usiku wa thalathini na moja ama kuzama jua la siku ya thalatini na mbili usiku wa thalathini na tatu Fawallahi Thuma Wallahi Thuma Wallahi kua imeharamishwa kwenu katika muhakam ya kitabu cha Allah kua muaanze funga ya mwezi wa ramadhani mpaka mushuhudie kuona mwandamo wa mwezi wa ramadhani mbele ya macho ya wenye kuchunguza kwa jicho la yakini.


    Na amri hio hio amewamuru nayo Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam, Asema:
    [ Musifunge mpaka muone mwandamo wa mwezi na wala musifunguwe mpaka muone ] Sadaqa Aleyhi Asalat Wa Asalam,
    [ لا تصوموا حتى تروا الهلال ولا تفطروا حتى تروه] صدق عليه الصلاة والسلام،
    Eee Laana ya Allah ju Atakae khalifu amri ya Allah na Mtume wake akapoteza nafsi yake akapoteza umma wake kwa kukusudia kutoka kwake kua atangaze mwanzo wa funga ya ramadhani kwa taifa lake kabla haijathubutu kuonekana mwandamo wa ramadhani kuthubutu kisharia kwa jicho la yakini, Bali anastahiki laana ya Allah mpaka siku ya dini ispokua atubie kwa Allah Arahman Arahim wala isimchukuwe utukufu kwa dhambi.

    Na ewe Raisi Rajab Taib Ardugan, Ikiwa wewe kweli ni mtu mzuri kimoyo inje ndani basi usikhalifu ameri ya Allah! na vipi watangaza kutangulia kwa taifa la turkia kua mwanzo wa funga ni juma na sisi bado tuko katika usiku wa alhamisi; Na bado ulimwengu wote mpaka sasa wakati natoa Bayana yangu hi tuko katika siku ya alhamisi na bado halijazama jua lake siku yake bado?! Basi vipi utatangaz kuaanza funga ya kila mwezi wa ramadhani katika kila mwaka kabala haijathubutu kuonekana kwake kisharia kwa jicho la yakini? Na ewe mwanume hakika mimi ni Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani nakupa changa moto na wote watowaji uwamuzi na mataifa yao katika mashariki ya ardhi na magharibi yake katika taifa zote za binadamu waislamu wao na makafiri kwamba wathubutu kwao mwandamo wa mwezi wa ramadhani wa mwak hu 1441 baada kuzama jua la siku yetu hi alhamisi kuthibitisha ki sharia kwa jicho la ya kini baada kuzama jua na hata kama wanamiliki madarubini upana wke upana wa mwezi! Na sababu ya ki'ilimu kwa urahisi kwakua mwandamo wa ramadhani utazama kabla kuzama jua la alhamisi usiku wa juma thalathini na moja shaaban kulingana na kalenda ya kituo cha ardhi maka almukarama, Na haijaharibika kalenda ya mama wa miji ispokua ni "aya ishara alama" ya kufikiliwa kwa kiulimwengu.

    Na natoa cahngamoto kwa wote kamati ya kufwatilia miandamo kwa ma taifa yote ya kislamu katika mashariki ya ardhi na magharibi yake changamoto kwa yakini kwa kujuwa kutoka kwa Allah wala sio changamoto kwa kudhania ambao haisa

    idi mbele ya haki kitu, Na nitaenda kutangaza kutaka mubahala kuanzia sasa kulingana na Amri ya Allah baina ya Al'Iamam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Na wote wanazuoni wa falaki katika mataifa ya binadamu, Na hivo hivo inajumlisha hi mubahala wenye kuona kisharia kua ju yao laana ya Allah na Malaika na watu wote ikiwa wametoa ushahidi wa kuona mwandamo wa mwezi wa ramadhani baada kuzama jua la alhamisi usiku wa juma kwa urongo na kuzulia! Na hi ni baada kuzama jua la siku yetu hi ya leo jioni ya alhamisi usiku wa ijima, Ama laana ya Allah ju ya Nasser Muhammad Al'Yamani ikiwa ni katika warongo ju ya Allah Mola Mlezi wa ulimwengu kwamba jua limefikilia mwezi alama ya kusadikisha Al'Mahdi Al'Muntadhar Khalifa Wa Allah ju ya binadamh alama ya kiulimwengu kwa wote binadamu kwa yule atakae miongoni mwao kua atatangulia ndio afwate ukumbusho Al'Quran Al3adhim ama achelewe kufwata mpaka asadikishe kwa ukwelu kutoka kwa Mola Mlezi wake kwa adhabu chungu na wakati watu wote wamejua kwamba usiku wa nusu ya shaabani baada kuzama jua la juma inne usiku wa juma tano, Basi juweni nyote kua 29 shaaban ya mwaka wenu hu nayo ni siku ya juma tano inamalizika kwa kuzama jua la 29 shaban kila moja kulingana na wakati wa kuzama jua la kwake katika magharibi ya ma taifa ndio ingie usiku wa alhamisi usiku wa thalathini katika shaban, Na hapana na wala hawatona binadamu wote mwandamo wa mwezi wa ramadhani baada kuzama jua la juma tano usiku wa alhamisi katika magharibi ya mataifa yote ya binadamu walioko mashariki na magharibi pamoja ya kwamba usiku wa alhamisi ambao ulio ingia baada kuzama jua la juma tano nayo ndio mwanzo wa mwezi wa ramadhani almubarak ya mwaka wenu hu 1441.

    Lakini mimi Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani amabe hakhalifu Amri Ya Allah na Mtume Wake nitaenda kunwa sasa hivi kikombe cha maji hebu nukta za kuhisabu tafadhalini ili ninwe kikombe cha maji, Alhamdulillah, Na je mwajua kwanini? Kwakua mimi sijapotea na sipotezi kama nyinyi nafunga kwa kujua kuzaliwa mwandamo; Bali kwa kuona kisharia kwa jicho la yakini, Ama sababu ya kuzama mwandamo wa mwezi wa ramadhani kabla kuzama jua mwisho wa siku wa shabani juma tano na hivo ni kwakua mimi najua kwmba mwandamo wa ramadhani umezaliwa kabla kuwa kama karara kongwe nayo ni ile munaoita mahak ya kituo ya jua na mwezi yenye nafasi, Na kadhalika itaenda kuzama mwandamo wa ramadhani kabla kuzama jua ya siku yenu hi alhamisi usiku wa juma; Yani hakuna uweko wa mwandamo wa ramadhani ju magharibi jioni ya siku ya alhamisi usiku wa juma, Basi mwandamo gani mutaenda kuona na wakati hakuona uweko wa mwandamo wa ramadhani baada ya kuzama jua lahamisi usiku wa juma hata kama macho yenu yangekua ni macho ya ma Falcons ama munazo madaribini za kufanya ukubwa upana wa wake upana wamwezu, Na je mwajua kwanini? Na hivo kwakua najua kwa yakini kua hakuna uweko wa sayari ya mwezi baada kuzama jua ya siku ya alhamisi usiku ya ijuma, Wala sio kwamba hawatoiona katika yemen peke bali hapana wala haitotimu kuthubutu kuonekana kwake kwa jicho la yakini kwa idhini ya Allah Mola Mlezi wa ulimwengu jioni ya siku ya alhamisi usiku wa juma katika magharibi yote ya matifa ya binadamu ya kislamu na ya kikafiri, Na hivo kwenu kwakua jua limefikilia mwezi kufikilia pakubwa asbuhi ya siku ya jumatano ikianzia nukta ya kuzaliwa mwezi wa ramadhani ya mwaka wenu hu 1441 kulingana na kalenda ya kituo cha ardhi mama wa miji maka almukarama, Na katika mchana wa siku ya juma tano umetimia mwandamo wa mwezi wa ramadhani lakini nao umezama kabla haijazama jua la juma tano usiku wa alhamisina iklikua ni mwandamo nayo iko katika hali ya kufikiliwa na jua upande wa mashariki nayo nae inafwata inatembea nyuma yake upande wa magharibi ya jua, Na najua na nafahamu nacho kisema kiasi ya kua nayo ni mwandamo wa mwanzo wa mwezi wala sio mwandamo wa mwisho wa mwei.

    Na kwa hivo basi mimi ni Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Khalifa wa Allah ju ya ulimwengu natangaza usiku wa nusu wa mwezi wa ramadhani kulingana na kufikiliwa jioni ya siku ya jumatano usiku wa alhamisi, Na kwa sababu ya kufikiliwa pakubwa mut

    aenda kupata mwezi ulio timia kamili badri unazama katika wakati wa kivuli kwa sababu ya kufikiliwa pakubwa baada ya swala ya alfajiri ya alhamisi kwa wakati wa mji mku wa khilafa ya kislamu sanaa na hivo hivo katika ma taifa zote kwa upande wa magharibi mwa yemen mpaka jua likichomoza; Na hivo kwenu ili mujuwe kwamba mimi najua kutoka kwa Allah yale hamuyajuwi, Na mwezi itawaeleza ukiwa kamili kuonekana kwake kikamilifu badar atamam kwa wote wanadamu kwa kila mtu amebalighi na ulimi wa hali ya mwezi inawambia watu; Huyu hapa mimi mwezi ulio timia badri ni katika hizbu ya khalifa wa Allah Al'Mahdi Al'Muntadhar, Ama mwataka kunitia kwenye siyasa enye ma3ashara ya wajinga wanaokhitilifiana? Basi sitofwata matamanio yenu bali mimi ni mwezi wa mbinguni mwenye kusikiza mwenye kutii kwa amri ya Allah kwa kusadikisha alama ya kiulimwengu kwa watu wote ni sharti katika masharti ya saa kuu na alama ya kusadikisha khalifa wake katika ardhi Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani na hukumu ni ya Allah Yeye ni Mbora wa kufafanua, Na mutaenda kujua hakika sisi ni wa kweli na kua laana ya Allah na hasira zake na ghadhabu zake na adhabu yake ju ya warongo na ju ya wote wale wanao taka kuzima Nur ya Allah katika mashetani wote majini na watu, Na Anakata Allah ispokua Atimize Nur yake hata kama watachukia wahalifu kutokezea kwake, Na ili mujuwe kuwa kwa Mkono wa Allah harakati ya jua na mwezi na ardhi ambazo Ameziumba na Yeye ndio Mwenye kuzidhibiti, Subhana Allah kwa yale munao msheikisha wa Ta3ala 3uluwan Kabiran.

    Na hivo hivo mutajua ile ambao munao ita coronavirus ni mwana jeshi ameamirishwa na anaendeshwa kutoka kwa Mola Mlezi wa ulimwengu, Na Hakumwamuru Allah Avamie Yemen bado huwenda wakashkuru aya kwao na kwa ulimwengu, Basi pindi wasipo shukuru watu wa yemen Atahukumu baina yangu na baina yao na wengine wao kwa tofani ya maji yanao tiririka kumwagika na tofan ya mto wa aram na wadi wa irm, Na ama kijisayari cha mtingisho basi kituo cha kupiga kwake ni mungano wa amerika taifa la Tramp kiongozi wa umma wenye nguvu zaidi - kwa mtazamo wake- Asikashifu Allah kwake bala, Na ama Kijisayari cha radifa basi pahala pake ni sehemu ingine na Hatoangamiza ispokua kila mwenye kiburi jabari ameasi Amri Ya Allah kwa kumti khalifa wake katika ardhi Al'Imam Al'mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani amabae hawakumfanye uzani wenye uwamuzi viongozi wa binadamu nae ni Khalifa wa Allah Al'Wahid Al'Qahar, Basi ni nani nyinyi hata muwe na kiburi ju ya Khalifa wa Allah Al'Mahdi Nasser Muhammad? Na naapa kwa Allah Al'Wahid Al'Qahar Anaenda kuwalazimisha Allah shingo zenu kwa Khalifa Wake na ilhali nyinyi ni katika wanyonge enye ma3ashara ya wanao kiburi katika watowaji uwamuzi viongozi wa ma taifa ya binadamu, Na mutaenda kujua kua Allah Atalitimiza jambo lake na atatabikisha uwamuzi Wake ju yenu kwa kumtuii Khalifa Wa Allah Al'Mahdi na Atatimiza nae Nur Yake hata kama watachukia wahalifu kudhihirika kwake.

    Allahuma Wewe ni Mola Mlezi wangu fungua baina ya Khalifa wako kwa haki na baina ya kila mwenye kiburi mwenye ujabari katika watowaji uwamuzi kwenye mataifa za binadamu, Na nakariri na na nasema; Hakika mutaenda kujua kwamba Allah Yeye kweli ni Malik Almulk Anampa Katika Ufalme Wake Anae Mtaka Na Anampokonya Ufalme Anae Mtaka Na Anamtukuza Anae Mtaka Na Anamdhalilisha Anae Taka kwa Mikono Yake Kheri Yote Na Yeye Kwa Kila Kitu Ana Uwezo, Na je munaongezeka ju ya Khalifa Wa Allah ( Ya Kman Muhin ) kwenye Ulimwengu katika watoaji uwamuzi? Na mutaenda kujua kwamba utukufu Wote ni wa Allah, Na Salam Ju Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabil3alamin.


    Khalifa Wa Allah Na Mja Wake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani
    خليفة الله وعبده الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني
    _________

    اقتباس المشاركة 327343 من موضوع فتوى من الله بتحريم صيام شهر رمضان حتى تشهدوا رؤية هلال شهر رمضان

    الإمام ناصر محمد اليماني
    30 - شعبان - 1441 هـ
    23 - 04 - 2020 مـ
    12:22 مساءً
    ( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )

    ____________


    فتوى من الله بتحريم صيام شهر رمضان حتى تشهدوا رؤية هلال شهر رمضان..


    بسم الله العظيم الجبار فاطر السماوات والأرض المُسَيطِر على حركة الشمس والقمر..
    ويا معشر صناع القرار في دول المسلمين، إن كان لا يزال في صدوركم مثقال ذرة من الإسلام لربّ العالمين فالتزموا بأمر الله في شأن بَدءِ صيام شهر رمضان! فقد حرّم الله عليكم أن تصوموا شهر رمضان حتى تثبت لديكم رؤية هلال رمضان ثبوتاً شرعياً مرئيّاً تصديقاً لأمر الله إليكم في محكم كتابه القرآن العظيم في قول الله تعالى:
    { فَمَن شَهِدَ مِنكُمُ الشَّهْرَ فَلْيَصُمْهُ } صدق الله العظيم [البقرة:185]؛ بمعنى أنّ الله حرّم عليكم بدء صيام رمضان حتى تروا هلال رمضان هلَّ عليكم وكلٌّ حسب أفق غروبه، فمن هلَّ عليهم هلال رمضان بعد غروب شمس يوم تسعٍ وعشرين شعبان ليلة الثلاثين أو بعد غروب شمس يوم ثلاثين شعبان ليلة واحد وثلاثين أو بعد غروب شمس يوم اثنين وثلاثين ليلة ثلاثه وثلاثين فوالله ثم والله ثم والله أنّه مُحرّمٌ عليكم في محكم كتاب الله أن تبدأوا صيام شهر رمضان حتى تشهدوا رؤية هلال شهر رمضان أمام أعين أصحاب التّحرّي بعين اليقين.

    ونفسُ الأمر أمرَكم محمدٌ رسولُ الله صلى الله عليه وآله وسلم، قال:
    [ لا تصوموا حتى تروا الهلال ولا تفطروا حتى تروه] صدق عليه الصلاة والسلام، ألا لعنة الله على من خالف أمر الله ورسوله فأضلّ نفسه وأضلّ أُمّته بتعمّدٍ منه أن يُعلن غرّة صيام رمضان لشعبه من قبل أن تثبُت رؤية هلال رمضان ثبوتاً شرعياً بعين اليقين، بل يستحق لعنة الله إلى يوم الدِّين إلا أن يتوب إلى الله الرحمن الرحيم ولا تأخذه العِزّة بالإثم.

    ويا أيها الرئيس رجب طيّب أردوغان، إن كنت حقّاً رجُلاً طيّب قلبٍ وقالبٍ فلا تخالف أمر الله! فكيف تُعلن مُسبقاً للشعبِ التركي غرّة الصيام الجمعة ونحن لا نزال في ليلة الخميس؛ ولا يزال العالم بأسره حتى الساعة لصدور بياني هذا في يوم الخميس ولم تغرب شمسهُ بعدُ؟! فكيف تعلن غرّة صيام كلّ شهر رمضان في كلّ عامٍ من قبل ثبوت رؤيته الشّرعيّة بعين اليقين؟ ويا رجل إنّي الإمام المهدي ناصر محمد اليماني أتحدّاك وكافة صُنّاع القرار وشعوبهم في مشارق الأرض ومغاربها في كافة دول البشر مسلمهم والكافر أن يثبت لديهم هلال شهر رمضان هذا لعام 1441 بعد غروب شمس يومنا هذا الخميس ثبوتاً شرعيّاً بعين اليقين بعد غروب الشمس وحتى لو يملكون تلسكوباً قطره قطر القمر! والسبب العلميّ بكلِّ بساطة كون هلال رمضان سوف يغرب قبل غروب شمس الخميس ليلة الجمعة واحد وثلاثين شعبان حسب تقويم مركز الأرض مكة المكرمة، ولم يختلّ تقويم أم القرى الا بسبب آية الإدراك الكونية.

    وأتحدّى كافّة لجان تحرّي الأهلة لدى كافة دول شعوب المسلمين في مشارق الأرض ومغاربها تحدّي اليقين بعلمٍ من الله وليس تحدّي الظن الذي لا يُغني من الحق شيئاً، ولسوف أُعلن بالمباهلة من الآن حسب أمر الله بين الإمام المهدي ناصر محمد اليماني وكافة علماء الفلك في شعوب البشر، وكذلك تشمل المباهلة أصحاب الرؤية الشرعيّة أنّ عليهم لعنة الله والملائكة والناس أجمعين إن شهِدوا برؤية هلال رمضان بعد غروب شمس الخميس ليلة الجمعة زوراً وبهتاناً! وهذا بعد غروب شمس يومنا هذا مساء الخميس ليلة الجمعة، أو لعنة الله على ناصر محمد اليماني إن كان من الكاذبين على الله ربّ العالمين أنّ الشمس أدركت القمر آية التصديق للمهديّ المنتظر خليفة الله على البشر آية كونيّة لكافة البشر لِمن شاء منهم أن يتقدّم فيتّبع الذِّكر القرآن العظيم أو يتأخّر عن الاتّباع حتى يُصدّق بالحق من ربّه بعذابٍ نُكرٍ وقد علِم كافّة البشر أنّ ليلة النصف من شعبان بعد غروب شمس الثلاثاء ليلة الأربعاء، فاعلموا جميعاً أنّ 29 شعبان لعامكم هذا هو يوم الأربعاء ينتهي بغروب شمس 29 شعبان كلٌّ بحسب ميقات غروب شمسه في مغرب الشعوب فتدخل ليلة الخميس ليلة ثلاثين من شعبان، ولا ولن يرَوا كافّة البشر هلال رمضان بعد غروب شمس الأربعاء ليلة الخميس في جميع مغارب دول البشر شرقاً وغرباً برغم أنّ ليلة الخميس التي دخلت بعد غروب شمس الأربعاء هي ليلة غُرّة شهر رمضان المبارك لعامكم هذا 1441.

    ولكنّي الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ الذي لا يخالف أمر الله ورسوله سوف أتناول الآن كأساً من الماء، ثوانيَ لو سمحتم حتى أشرب كأساً من الماء، الحمد لله، وهل تعلمون لماذا؟ كوني لست ضالّاً مُضِلاً مثلكم أصوم بعلمي بولادة الهلال؛ بل برؤيته الشرعية بعين اليقين، وأما سبب غروب هلال شهر رمضان قُبيل غروب شمس آخر يوم في شعبان الأربعاء وذلك كوني أعلم أنّ هلال رمضان وُلِد قبل العُرجون القديم وهو بما تسمّونه المُحاق المركزيّ للشمس والقمر المعتم، وكذلك سوف يغرُب هلال رمضان قُبيل غروب شمس يومكم هذا الخميس ليلة الجمعة؛ بمعنى أنّ لا وجود لهلال رمضان بالأفق الغربيّ مساء يوم الخميس ليلة الجمعة، فأيّ هلالٍ سوف تشاهدون ولا وجود لهلال رمضان بعد غروب شمس الخميس ليلة الجمعة حتى لو كانت أبصاركم أبصار الصقور أو تملكون مِجهراً مكبّراً قطره كمثل قطر القمر، وهل تدرون لماذا؟ وذلك كوني أعلم علم اليقين أنّه لا وجود لكوكب القمر بعد غروب شمس يوم الخميس ليلة الجمعة، وليس فقط لن يشاهدوه في اليمن فحسب بل لا ولن يتم ثبوت رؤيته بعين اليقين بإذن الله ربّ العالمين مساءَ يوم الخميس ليلة الجمعة في كافّة مغارب دول البشر مسلمِهم والكافر، وذلكم كون الشمس أدركت القمر الإدراك الأكبر صباح يوم الأربعاء بدء نقطة ميلاد شهر رمضان لعامكم هذا 1441 حسب تقويم مركز الأرض أمّ القرى مكة المُكرّمة، وخلال نهار يوم الأربعاء اكتمل هلال شهر رمضان ولكنّه غرب قبل غروب شمس الأربعاء ليلة الخميس وقد هو هلالاً وهو في حالة إدراكٍ والشمس الى الشرق منه وهو يتلوها جارياً وراءها من جهة غربيّ الشمس، وأعلمُ وأعي ما أقول برغم أنّه هلال أول الشهر وليس هلال آخر الشهر.

    وعليه فإنّي الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني خليفة الله على العالمين أعلن ليلة النصف لشهر رمضان بحسب الإدراك مساء يوم الأربعاء ليلة الخميس، وبسبب الإدراك الأكبر سوف تجدون القمر البدر يغرُب في ميقات الظّل بسبب الإدراك الأكبر بعد صلاة فجر الخميس بتوقيت عاصمة الخلافة الإسلامية صنعاء وكذلك في جميع الدول الى الغرب من اليمن حتى طلوع الشمس؛ ذلكم لكي تعلموا أنّي أعلم من الله ما لا تعلمون، ولسوف يخاطبكم القمر البدر برؤيته بدر التمام لكافّة البشر لكلّ إنسان بلغ رشده وكأنّ لسان حال القمر يقول للبشر: ها أنا ذا القمر البدر من حزب خليفة الله المهدي المنتظر، أم تريدون أن تُسَيّسوني يا معشر الغجر المختلفين؟ فلن أتّبع أهواءكم بل أنا قمر السماء سامعٌ مطيعٌ لأمر الله بتصديق آية كونيّة لكافة البشر شرطاً من أشراط الساعة الكُبر وآية التصديق لخليفته في الأرض الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ والحكم لله وهو خير الفاصلين، ولسوف تعلمون إنّا لصادقون وأنّ لعنة الله ومقته وغضبه وعذابه على الكاذبين وعلى كافة الذين يريدون أن يطفِئوا نور الله في كافة شياطين الجن والإنس، ويأبى الله الا أن يُتمّ نوره ولو كره المجرمون ظهوره، ولتعلموا أنّ بيد الله الًواحد القهار حركة الشمس والقمر والأرض الذي خلقهن وهو المسيطر عليهن، سبحان الله عمّا تشركون وتعالى علواً كبيراً.

    وكذلك سوف تعلمون أنّ بما تسمّونه فيروس كورونا جنديٌّ مأمورٌ ومسيّر من ربّ العالمين، ولم يأمره الله بالهجوم على اليمن بعدُ لعلّهم يشكرون آية لهم وللعالمين، واذا لم يشكروا أهل اليمن فسوف يحكم بيني وبينهم وغيرهم بطوفانِ ماءٍ مُنهمرٍ وطوفان سيلِ العَرِم ووادي إرَم، وأمّا كويكب الراجفة فمركز ضربته في الولايات المتحدة الأمريكية دولة ترامب قائد أقوى أمةٍ - في نظره - لا كشف الله عنه الغمة، وأما كويكب الرادفة فموقعه في مكان آخر ولن يهلك إلا كلّ متكبّر جبّار عصى أمر الله بطاعة خليفته في الأرض الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني الذي لا يكاد صنّاع القرار قادات البشر أن يقيموا له وزناً وهو خليفة الله الواحد القهّار، فمن تكونوا حتى تستكبروا على خليفة الله المهديّ ناصر محمدٍ؟ وأقسم بالله الواحد القهّار ليُخضِع الله أعناقَكم لخليفته وأنتم صاغرون يا معشر المستكبرين من صُنّاع القرار قادات دول البشر، ولسوف تعلمون أنّ الله بالغُ أمره ومطبّق قراره عليكم بطاعة خليفة الله المهديّ ومُتِمّ به نوره ولو كره المجرمون ظهوره.

    اللهم أنت ربّي افتح بين خليفتك بالحق وبين كل مُتكبّرٍ جبّارٍ من صُنّاع القرار في دول البشر، وأكرّر وأقول: ولسوف تعلمون أنّ الله هو حقّاً مالك المُلك يؤتي المُلك مَن يشاء وينزِع المُلك مِمّن يشاء ويُعزّ من يشاء ويُذِلّ من يشاء بيده الخير كلّه وهو على كل شيءٍ قدير، فهل تستكثرون على خليفة الله (يا كَمِّن مهين) في العالمين من صنّاع القرار؟ ولسوف تعلمون أنّ العزّة للهِ جميعاً، وسلامٌ على المُرسَلين والحمدُ للهِ ربِّ العالمين.

    خليفة الله وعبده الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني
    _____________

    [ لقراءة البيان من الموسوعة ]
    https://mahdialumma.net./showthread.php?p=327380
    اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..
    كُفيــتَ يا قلـــبُ بالنّعيـم تَقربــاً وما كانَ للقلب عن حبّه لَيحيدُ
    وَكلّما مالَت شغافُ القلبِ للدُّنيا كانَ الوريدُ إلى الحَبيب مُريدُ

المواضيع المتشابهه
  1. Allahuma Nimebalighisha Kua Jua Limefikia Mwezi Ikazaliwa Mwandamo Kabla Ya Kusuf Ikakutana Nae Ikiwa Ni Mwandamo..
    بواسطة زينة الإسلام (فارسة الحق) في المنتدى Swahili
    مشاركات: 0
    آخر مشاركة: 18-07-2020, 04:05 PM
  2. مشاركات: 0
    آخر مشاركة: 16-09-2019, 10:58 AM
  3. Hashtag “Badar Atamam” Mwezi Kua Kamili Kupitia Twitter kuhusu Mwezi Kua Kamili Wa Mwezi Dhi Al’Qaida Ya Mwaka
    بواسطة الراضي برضوان الله في المنتدى Swahili
    مشاركات: 1
    آخر مشاركة: 11-09-2018, 11:58 AM
  4. مشاركات: 0
    آخر مشاركة: 17-07-2018, 10:43 PM
  5. مشاركات: 0
    آخر مشاركة: 11-05-2018, 06:19 PM
ضوابط المشاركة
  • لا تستطيع إضافة مواضيع جديدة
  • لا تستطيع الرد على المواضيع
  • لا تستطيع إرفاق ملفات
  • لا تستطيع تعديل مشاركاتك
  •