Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
28 - 12 - 1430 هـ
15 - 12 - 2009
01:46 صــباحاً
ـــــــــــــــــــ
[URL]http://Read more: https://mahdialumma.net./showthread.php?t=11656]
يا أيها المُظفر، فهل تعلم لماذا جعل الله صاحب الدرجة العالية مجهولاً


Ewe Ambae Ni Al'Mudhafar, Na Je Wajuwa Kwanini Amefanya Allah Mwenye Daraja "Al3aliya" Ya Ju Hajulikani ?
Je ! Una'ashiria Kuwa Anaweza Moja Wetu Pamoja Ya Kuwa Yale Alio Mfadhilisha Allah Nayo Al'Mahdi Kutokana Na Ma Bayana Aweza Kuwa Yuko Karibu Kwa Allah Kuliko Al'Mahdi Al'Muntadhar Dhati Yake Pamoja Ya Kuwa Yeye Ndio Anae Tufundisha Na Kutufahamisha Na Ane Juwa Zaidi Yetu Ni Al'Mahdi Al'Muntadhar Lakini Hio Haituzuwi Kuipata Daraja Ya Ju.

Ama Tuwe Daraja Ya Al'Mahdi Aleyhi Al'Salam Na Vipi Itakuwa Na Nataka Kukuambia Wewe Kauli Hakika Wewe Ni Katika Wanao'Mpwekesha Allah Wanao Jitahidi Na Kukita Wale Ambao Hawa'Mshirikishi Allah Kitu Basi Akujazi Allah Kheri Umituonesha Kuwa Sote sisi Kwa Allah Ni Watumwa Na Mpaka Malaika
(إِن كُلُّ مَن فِي السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ إِلَّا آتِي الرَّحْمَنِ عَبْداً
(Hakika Wote Waliomo Katika Mbingu Na Ardhi Ila Kwa Allah Ni Watumwa)
فَإِن تَوَلَّيْتُمْ فَمَا سَأَلْتُكُم مِّنْ أَجْرٍ إِنْ أَجْرِيَ إِلاَّ عَلَى اللّهِ وَأُمِرْتُ أَنْ أَكُونَ مِنَ الْمُسْلِمِينَ)

(Na Mukikanusha Basi Sikutaka Ujira Kwenu Hakika Ajirj Yangu Ispokuwa Ni Ju Ya Allah Na Nimi'Amrishwa Niwe Katika Waislamu)
إِنَّمَا أُمِرْتُ أَنْ أَعْبُدَ رَبَّ هَذِهِ الْبَلْدَةِ الَّذِي حَرَّمَهَا وَلَهُ كُلُّ شَيْءٍ وَأُمِرْتُ أَنْ أَكُونَ مِنَ الْمُسْلِمِينَ)

(Lakini Nimi'Amirishwa Kuwa Ni Mwabudu Mola Mlezi Wa Mji Hu Ambao Ameu'Haramisha Na Ni Yake Kila Kitu Na Nimi'Amirishwa Natakiwa Niwe Katika Waislamu)
لَّن يَسْتَنكِفَ الْمَسِيحُ أَن يَكُونَ عَبْداً لِّلّهِ وَلاَ الْمَلآئِكَةُ الْمُقَرَّبُونَ وَمَن يَسْتَنكِفْ عَنْ عِبَادَتِهِ وَيَسْتَكْبِرْ فَسَيَحْشُرُهُمْ إِلَيهِ جَمِيعاً)
(Hatofanya Jeuri Al'Masih Kuwa Ni Mtumwa Wa Allah Wala Malaika Waliokaribu Na Mwenye Kuwa Jeuri Kwa Kumabudu Yeye Na Akafanya Kiburi Basi Atawafufuwa Kwake Wote)

Alhamdulillah Mimi Nimizidi Kuwa Na Basira Kujuwa Sasa Na Nimefahamu Kutoka Kwako Kuwa Sio Kuwa Allah Ame'Mnemesha ju Ya Mja Akamfanya Ni Katika Mitume Basi Atabaguliwa Baina Ya Waja Wema Wa Allah Wote Basi Hio Haiziwi Walio Wema Washindane Na Wao
{اتَّخَذُواْ أَحْبَارَهُمْ وَرُهْبَانَهُمْ أَرْبَاباً مِّن دُونِ اللّهِ وَالْمَسِيحَ ابْنَ مَرْيَمَ وَمَا أُمِرُواْ إِلاَّ لِيَعْبُدُواْ إِلَـهاً وَاحِداً لاَّ إِلَـهَ إِلاَّ هُوَ سُبْحَانَهُ عَمَّا يُشْرِكُونَ}


{Na Wamefanya Wanazuoni Wao Na Ruhbani Wao Ni Miyungu Pasi Na Allah Na Al'Masi7h Mwana Wa Maryam Na Hawa'Kuamirishwa Ispokuwa Wamwabudu Allah Mungu Moja Hapana Mungu Ispokuwa Yeye Ametukuka Kwa Yale Wanao Mshirikisha} Wakadhani Yeye Issa Nabi Wa Allah Mwengine Na Yuwapaswa Yale Hawapaswi Na Kuwa Yeye Pekeyake Ni Wa Allah Pasi Na Wanadamu Wengine.


Na Allah Akujazi Kheri Kwa Mazungumzo Yako Ambao Ni Mazuri yalio Bora Sayidi Nasser Na Atupe Maghfira Mimi Na Wewe Na Hakika Wewe Ni Katika Wa Kweli Ewe Allah Mfungulie Ju Yake Mifunguwo Ya Wenye Kujuwa
Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Salam Ju Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabi Al3alamin.. Asalam Aleykum Warahmtu Allahi Wabarakatuhu Alsalam Ju Yetu Na Ju Ya Waja Wake Wema Katika Wa Mwanzo Na Wa Mwisho Na Katika Hdhara Ya Ju Mpaka Siku Ya dini..

Ndugu Yangu Al'Mudhafar, Lakini Al'Mahdi Al'Muntadhar ni Mtumwa Katika Watumwa Wa Allah Wema Hanifan Musliman Na Mimi Si Katika Mushrikina Katika Wale Walio Tenga Dini Yao Kuwa Ujamma Na Kila Chama Kwa Walio Nayo Wanafurahia, Asema Allah Ta3ala:
{وَلَا تَكُونُوا كَالَّذِينَ تَفَرَّقُوا وَاخْتَلَفُوا مِنْ بَعْدِ مَا جَاءَهُمُ الْبَيِّنَاتُ وَأُولَئِكَ لَهُمْ عَذَابٌ عَظِيمٌ} صدق الله العظيم [آل عمران:150].
Allah Ta3ala Asema: {Wala Musiwe Kama Wale Wametengana Waka Ikhitalifiana Bada Ilipo Wajia bayana Na Hawo Watapata Adhabu Kuu} Sadaqa Allah Al3adhim[Alimran:150].

Na Ewe Almudhafar, Na Je Wajuwa Kwanini Amefanya Allah Mwenye Daraja Ya Ju Hajulikani? Na Hivo Sio Ila Kwajili Itimu Kushindana Kwa Wote Waja Wa Allah Katika Watu Wa Mbingu Na Ardhi Katika Watu Na Ma Jini Na Malaika Na Wenginewe Katika Ma Umma Wanao Abudu Kama Alivo Wapa Fatwa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Kuwa Iko Daraja Kwa Allah Inaitwa Al'Wasila Nayo Ni Daraja Ya Juu Kabisa Katika Pepo Na Ni Karibu Zaidi Kwa Arshi Ya Al'Rahman, Na Hakuwapa Fatwa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Kuwa Mwenye Hio Daraja Ni Katika Watu Ama Ma Jini Ama Malaika; Bali Amewapa Fatwa Kuwa Ni Mja Katika Waja Wa Allah, Ispokuwa Babu Yangu Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Anatarajia Awe Ni Yeye Kama Anataraji Yoyote Mwengine katika Waja Wa Allah Wanao Shindana Katika Wanadamu Na Majini Na Malaika, Na Akasema Allah Ta3ala:

{أُوْلَئِكَ الَّذِينَ يَدْعُونَ يَبْتَغُونَ إِلَى رَبِّهِمُ الْوَسِيلَةَ أَيُّهُمْ أَقْرَبُ وَيَرْجُونَ رَحْمَتَهُ وَيَخَافُونَ عَذَابَهُ إِنَّ عَذَابَ رَبِّكَ كَانَ مَحْذُورًا} صدق الله العظيم [الإسراء:57].
Allah Ta3ala Asema:
{Hawo Ambao Wanao'Muomba Wanataka Kwa Mola Wao Al'Wasila Yupi Kati Yao Karibu Na Wanataraji Rahma Yake Na Wanaogopa Adhabu Yake Hakika Kutoka Hapo Adhabu Ya Mola Wako Iko} Sadaqa Allah Al3adhim[Alisra:57].

Kulingana Kwenye Kauli Ya Allah Ta3ala:
{أَيُّهُمْ أَقْرَبُ} صدق الله العظيم،
{Yupi Kati Yao Ni Karibu} Sadaqa Allah Al3adhim, Kwahivo Mwenyewe Ni Mmja Hajulikani Na Bado Hajatangazwa Ili Isiharibu Kushindana Lakini Ameifanya Allah Hajulikani Ili iendele Kushindana Kumpenda Allah Na Kuwa Karibu Nae, Na Nimebashiriwa Nayo Na Imerudi Kwa Asiojulikana Kwajili Sina Haja Nayo, Bali Nataka Kupatikane Al'Na3im Al3adhm Kutokana Na Hio, Na Mpaka Sasa Mwenyewe Hajulikani Wala Haijatimu Kutangaza Kuhusu Natija Yake Mmja Yupi Anao Pendwa Zaidi Na Mja Alio Karibu Zaidi Kwa Mola Mlezi Wa Arshi Kuu Basi Bado Hajulikani Ili Iendele Kushindana Kwa Kumpenda Allah Na Kuwa Karibu Nae Mpa Siku Watakapo Simama Watu Kwa Mola Mlezi Wa Walimwengu Ndio Itangazwe Natija Baina Ya Waja Wa Allah Wote; Bali Hata Malaika Wake Wote Wana Shindana Katika Kumpenda Allah Na Kuwa Karibu Nae Yupi Katika Wao Alio Karibu Basi Atahukumu Allah Kwa Malaika Wake Wote Ampe Kila Moja Wao Mkamu Yake Malum Bila Dhulma, Wala Hadhulumu Mola Wako Mlezi Yoyote, Akasema Allah Ta3ala:
{وَتَرَى الْمَلائِكَةَ حَافِّينَ مِنْ حَوْلِ الْعَرْشِ يُسَبِّحُونَ بِحَمْدِ رَبِّهِمْ وَقُضِيَ بَيْنَهُم بالحقّ وَقِيلَ الْحَمْدُ لِلَّهِ ربّ العالمين}
صدق الله العظيم [الزمر:75].

Allah Ta3ala Asema:
{Na Utaona Malaika Wamezunguka Arshi Wanamsabeh Mola Wao Mlezi Na Imegidhiwa Baina Yao Kwa Haki Na Ikasemwa Alhamdulillah Rabi Al3alamin} Sadaqa Allah Al3adhim[Alzumur:75]

Basi Angalia Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَقُضِيَ بَيْنَهُم بالحقّ وَقِيلَ الْحَمْدُ لِلَّهِ ربّ العالمين} صدق الله العظي
Allah Ta3ala Asema:
{Na Ikakidhiwa Baina Yao Kwa Haki Ikasemwa Alhamdulillah Rabi Al3alamin} Sadaqa Alla Al3adhim, Yani Malaika Wa Al'Rahman Wanaoshindana Kwa Katika Kumpenda Allah Na Kuwa Karibu Na Kila Moja Wao Ila Anao Makamu Yake Malum Kulingana Na Daraja Yake Kwa kumpenda Mola Wake Mlezi Na Kuwa Karibu, Na Hutowaona Wamemfadhilisha Jibril Aleyhi Aslat Wa Alsalam Wala Kuvunjika Moyo Kuwa Yeye Ndio Atake Shinda Daraja Ya Kupendwa Na Allah Na Kuwa Karibu Nae, Na Wao Wajuwa Kuwa Ni Mja Hajulikani Yaweza Kuwa Ni Katika Malaika Ama Aweza Kuwa Katika Majini Ama Aweza Kuwa Katika Binadamu, Na Wote Waja Wa Allah Wanashindana Kwa Kumpenda Allah Na Kuwa Karibu, Na Hapati Hasara Anae Shindana Na Imani Dhaifu Atapita Daraja Ya Watu Wa Kulia Kwenda Daraja Ya Walio Karibu Kwa Mola Mlezi Wa Walimwengu, Na Hakuna Kwa Mwenyezi Mungu Kupendelea Subhanahu Na Wala hana Binadamu Ila Yale Alio Yatuma,Akasema Allah Ta3ala:
{وَأَنْ لَيْسَ لِلْإِنْسَانِ إِلَّا مَا سَعَى(39) وَأَنَّ سَعْيَهُ سَوْفَ يُرَى (40) ثُمَّ يُجْزَاهُ الْجَزَاءَ الْأَوْفَى (41)} صدق الله العظيم [النجم].
Allah Ta3ala Asema:
{Na ya kwamba hatapata mtu ila aliyo yafanya mwenyewe(39)Na kwamba vitendo vyake vitaonekan(40)Kisha ndio atalipwa malipo yake kwa ukamilifu(41)} Sadaqa Allah Al3adhim[Alnajm].

Kwa hivo Kila Mtu Kwa Yale Alio Yatuma Anategemea, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى: {وَالَّذِينَ آمَنُوا وَاتَّبَعَتْهُمْ ذُرِّيَّتُهُمْ بِإِيمَانٍ أَلْحَقْنَا بِهِمْ ذُرِّيَّتَهُمْ وَمَا أَلَتْنَاهُمْ مِنْ عَمَلِهِمْ مِنْ شَيْءٍ كُلُّ امْرِئٍ بِمَا كَسَبَ رَهِينٌ} صدق الله العظيم [الطور:21].
Allah Ta3ala Asema:{Na walio amini na dhuriya zao wakawafuata kwa Imani tutawakutanisha nao dhuriya zao, na wala hatutawapunja hata kidogo katika vitendo vyao. Kila mtu lazima atapata alicho kichuma} Sadaqa Allah Al3adhim[Altur:21].

Basi Nini Unatamani Ewe Ambae Ni Al'Mudhafar? Basi Na Ujuwe Kuwa Kwa Mikono Ya Allah Ufalme Wa Mwisho Na Wa Mwanzo Basi Muabudu Allah Na Ushindane Katika Kumpenda Yeye Na Kuwa Karibu Kando Na Ufalme Wake Subhanahu Na Mola Wako Mkarimu Wa Wakarimu, Akasema Allah Ta3ala:
{أَمْ لِلْإِنْسَانِ مَا تَمَنَّى (24) فَلِلَّهِ الْآخِرَةُ وَالْأُولَى (25)} صدق الله العظيم [النجم
Allah Ta3ala Asema:
{Ati mtu anakipata kila anacho kitamani(24)Mwenyezi Mungu tu ndiye Mwenye dunia na Akhera(25)} Sadaqa Allah Al3adhim[Alnnajm].

Na Ispokuwa Al'Mahdi Al'Muntadhar Ila Ni Mmja Katika Waja Wa Allah Mwislamu Kwa Mola Wake Mlezi Ashindana Na Waja Wake Katika Kumpenda Na Kuwa Karibu Nae Basi Itika Mwito Wake Na Ushindane Katika Kumpenda Allah Na Kuwa Karibu Nae, Na Wajuwaje Yule Atakae shinde Daraja Ya Karibu Ya Kumpenda Allah Na Kuwa Karibu Nae Ni Al'Mudhafar Awe Anao Pendwa Zaidi Kwa Allah Na Kuwa Karibu Nae Kuliko Al'Mahdi Al'Muntadhar Basi Anae Juwa Ni Allah.

Na Salam Ju Ya Mitume Na Al'Hamdulillah Rabi Al3alamin..

Ndugu Ya Wanao Shindana Kwa Kumpenda Allah Na Kuwa Karibu Nae 3abd Al'Na3im Al'A3dham; Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
ــــــــــــــــــ
Read more: https://mahdialumma.net./showthread.php?t=11656