الموضوع: Tahadharisho Kwa Wote Waumini Kwa Allah Alafu Wakavisha Imani Yao Kwa Dhulma Ya Shirk Kwa Allah; Hakika Ya Shirki Ni Dhulma Kuu ..

النتائج 1 إلى 1 من 1
  1. افتراضي Tahadharisho Kwa Wote Waumini Kwa Allah Alafu Wakavisha Imani Yao Kwa Dhulma Ya Shirk Kwa Allah; Hakika Ya Shirki Ni Dhulma Kuu ..

    Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
    *الإمام ناصر محمد اليماني*
    23 - ذو الحجّة - 1439 هـ
    03 - 09 - 2018 مـ
    11:04 صباحاً
    ( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
    https://mahdialumma.net./showthread.php?t=35774

    ــــــــــــــــــــــــ


    تحذيرٌ إلى كافة المؤمنين بالله ومن ثم ألبسوا إيمانهم بظلمِ الشرك بالله؛ إنّ الشرك لظلمٌ عظيمٌ ..
    Tahadharisho Kwa Wote Waumini Kwa Allah Alafu Wakavisha Imani Yao Kwa Dhulma Ya Shirk Kwa Allah; Hakika Ya Shirki Ni Dhulma Kuu ..


    Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Ma Nabi Wote Na Wale Walio Wafwata Katika Waumini Kwa Allah Pekeyake Na Wala Hawakuvisha Imani Yao Kwa Kumshirikisha Allah Yoyote Katika Waja Wake, Hawo Watapata Amani Kutokana Na Adhabu Ya Allah Katika Dunia Na Akhera, Na imekurubia Adhabu Ya Allah, Na mimi kwenu ni katika wanao towa nasaha basi sikizeni na mufahamu Siwahadharishi ispokua yale walio hadharisha nayo Mitume Wa Allah Wote kwamba musimwabudu ila Allah Pekeyake Basi Musiombe pamoja na Allah yoyote si katika maisha ya Dunia wala Akhera, Na Mujuwe kwamba Allah Yeye Ni Arhama Arahimin Mwenye Huruma Kuliko wenye Huruma Wote Basi musitake kupata rahma kutokana na adhabu yake kutoka kwa yoyote moja katika ya waja Wake Wema Katika Ma Nabi na Mawali Wake Wema na hivo ni kukufuru kwamba Allah Yeye Ni Arhama Arahin, Basi Haitakiwi iwe kuna Mja Wa Allah Awe Yeye Ni ana huruma kwenu kuliko Allah Arhama Arahimin, Na mujuwe kwamba Allah Ametuma Mitume Wake Kwa waja Wake ili wawaonye kumshirikisha Allah na kwamba wao hawana mbali na Allah Nabi wala wali Anawashufaie mbele ya mikono ya Allah Arhama Arahimin; Kutoka Nabi wa Kwanza Mpaka Khatimu Wao Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Waleyhim Ajmain na ju ya alio itikia ulinganizi wao katika kila zama na mahali mpaka siku ya Dini. Kusadikisha Mauli Ya Allah Ta3ala:
    {وَلَقَدْ أُوحِيَ إِلَيْكَ وَإِلَى الَّذِينَ مِن قَبْلِكَ لَئِنْ أَشْرَكْتَ لَيَحْبَطَنَّ عَمَلُكَ وَلَتَكُونَنَّ مِنَ الْخَاسِرِينَ ﴿٦٥﴾} صدق الله العظيم [الزمر].
    Allah Ta3ala Asema: { Na hakika umepewa wahy kwako na kwa wale kabla yako hakika mukishiriki ataviangusha vitendo vako na utakua katika walio khasirika } Sadaqa Allah Al3adhim [Azumur].


    Wakaitika Mitume Wa Allah Kwa Ameri Ya Mola Mlezi wao wakaonya waja wake kwamba atakae mshirikisha Allah atangusha vitendo vake Basi hatotakabali kwake kitu basi atakua ni katika wanao khasirika, Wakatekeleza Mitume Ya Allah kwa Amri Ya Allah Kwa Waja Wake kwamba wasimshirikishe Allah na wanaonya waja kwamba hawana mbali na Allah si wali wala Nabi atawashufaia wao mbele ya Mikono ya Allah ..


    Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
    {اللَّـهُ الَّذِي خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ وَمَا بَيْنَهُمَا فِي سِتَّةِ أَيَّامٍ ثُمَّ اسْتَوَىٰ عَلَى الْعَرْشِ ۖ مَا لَكُم مِّن دُونِهِ مِن وَلِيٍّ وَلَا شَفِيعٍ ۚ أَفَلَا تَتَذَكَّرُونَ ﴿٤﴾} صدق الله العظيم [السجدة].
    Allah Ta3ala Asema: {Allah Ambae Ameumba Mbingu Na Ardhi Na Viliomo Baina Yao Katika Siku Sita Alafu Akastawi Ju Ya Arshi Hamuna Mbali Na Yeye Wali Wala Shafi Hivi Hamukumbuki (14)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alsajida].


    Na Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
    {وَأَنذِرْ بِهِ الَّذِينَ يَخَافُونَ أَن يُحْشَرُوا إِلَىٰ رَبِّهِمْ ۙ لَيْسَ لَهُم مِّن دُونِهِ وَلِيٌّ وَلَا شَفِيعٌ لَّعَلَّهُمْ يَتَّقُونَ ﴿٥١﴾} صدق الله العظيم [الأنعام].
    { Na Uwaonye nayo wale ambao wanaogopa kwamba wafufuliwe Kwa Mola Wao Mlezi hawana wao mbali na Yeye wali wala shafi huwenda wakawa wacha Mungu(51)} Sadaqa Allah Al3adhim [Al'Anaam].


    Basi Vipi Mutaitakidi kwa hadithi ya ifki Ju Ya Mtume Wa Allah Muhammad Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam kwamba Ansema:
    [أنا لها، أنا شفيعكم يوم الدين بين يدي ربّ العالمين] ؟!!
    [Mimi Ndio Nae Weza, Mimi Ndio Shafii Wenu Siku Ya Dini Baina Ya Mukono Ya Mola Mlezi Wa Walimwengu]!!!?


    Na Mimi Ni Al'Imam Al'Mahdi Nasema Eeee Maskitiko Yangu Ju Ya Waislamu Basi wote wanaitakidi kwamba Muhammad Mtume Wa Allah Shafii wao siku ya Dini, Basi Allah Akaviangusha Vitendo vao Hakubali kwao vitendo vao.
    Fawallah Thuma Wallah Hatoitikia Kwa ulinganizi wa Al'Imam Al'Mahdi Ispokua Wenye Akili wanao tadabar kupeleleza kwa Ma Aya Msingi wa kitabu katika Muhakam ilio wazi maana yake Al'Quran Al3adhim, Basi


    Hatuna Haja ya Tafsiri wala taawili kutoka wanazuoni wa waislamu Kwa Waislamu wa kawaida katika walimwengu, Wala Hakufuru nazo na akafwata yanao khalifu ispokua ma fasiki. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
    {وَلَقَدْ أَنزَلْنَا إِلَيْكَ آيَاتٍ بَيِّنَاتٍ ۖ وَمَا يَكْفُرُ بِهَا إِلَّا الْفَاسِقُونَ ﴿٩٩﴾} صدق الله العظيم [البقرة].
    Allah Ta3ala Asema: { Na hakika tume kuteremshia kwako ma Aya baini na hatokufuru nazo ila ma fasiki (99)} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara],
    Kwakua nazo ni msingi wa kumwabudu Allah pekeyake hana mshirika nae. Lakini waislamu na waumini kwa Allah na vitabu vake na Mitume Wake wanakanusha ma Aya Nazo ni mama wa kitabu katika muhakam ilio wazi maana yake Al'Quran Al3adhim basi wanaitakidi kwa yale yalio kuja yamekhalifu nzo katika Ma Hadithi zilo shindiliwa katika Sunna za Mtume Wa Allah; Zimewajia kutoka aise Allah Na Mtume Wake Na zimekhalifu kwenye muhakam ilio wazi maana yake Kitabu Cha Allah na zimekhalifu ma hadithi za Muhammad Mtume Wa Allah katika sunna ya Al'Nabawia za kweli! Basi Vipi atahisabu yeye yuko kwenye uongofu yule alio fwata yalio khalifu muhakam ilio wazi maana yake Kitabu Cha Allah Na Sunna Za Mtume Wake Za Haki Sala Allahu Aleyhi Na Alio Mfwata ulinganizi wake Katika Waumini Na Toa Salamu Kusalimia?


    Na Eeee Maskitiko yangu ju ya waumini kwa Allah na alafu wakavisha imani yao kwa dhulma ya shirki, Hakika ya shirki ni dhulma kuu kwa nafsi zao, Basi Hatakabali Allah swala zao wala amali zao zote mpaka wamwamini Allah pekeyake Hana Mshirika Nae, Basi Hakuna mwenye kuwashufaia kwenu Pasi Na Yeye, Basi Akiwa Hakuwarehemu Allah Basi Nani yule ambae yeye Ana Huruma Zaidi Kwenu kuliko Allah Ndio Awashufaie nyinyi mbele ya Mikono Ya Allah Arhama Arahimin Mwenye Huruma zaidi Kuliko Wenye Huruma Wote? Na Akasema Allah Ta3ala:
    {وَمَا يُؤْمِنُ أَكْثَرُهُم بِاللَّـهِ إِلَّا وَهُم مُّشْرِكُونَ ﴿١٠٦﴾} صدق الله العظيم [يوسف].
    Allah Ta3ala Asema: { Na hawamini wengi wao kwa Allah ila na wao washirikina (106)} Sadaqa Allah Al3adhim [Yusuf].


    Na Mimi ni Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Nimetosheka Na Rahma Ya Allah Katika Dunia Na Akhera, Basi siombi pamoja na Allah yoyote, Wala Sitakidi Kwa kushufaiwa na Ma Nabi Wa Allah na Ma Wali Wake kwamba wanishufaie mbele ya mikono ya Allah kutokana na adhabu Yake, Basi nikitakidi kwakushufaiwa na waja mbele ya Mikono ya Mola Mlezi Anae Aboudiwa basi hakika sitopata mimi mbali na Allah mwenye kunisaidia na wala hatonitosheleza kutokana na Adhabu yake, Basi sitaraji ila Rahma Ya Allah, Basi nani huyo ambae anahuruma kwangu kuliko Allah Mwenye huruma zaidi kuliko wenye huruma Arhama Arahimin? Basi Yule Atakae Kuitakidi Kama Anavo itakidi Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani basi ameisadiki Al'Quran Al3adhim na Amesadiki ma hadithi za Mtume Wa Allah Za Kweli, Na eee ajabu enyi ma3ashara ya waislamu katika wa'ajemi na warabu na vipi mutasadiki batil na munaifwata na munakanusha haki katika muhakam ilio wazi maana yake Al'Quran na kwa haki kwenye ma hadithi ya sunna ya bayana? Basi vipi munaona haki ni batil na batil ni haki! Na jee nyinyi ni waislamu ama mumebilisiwa Mumekata tama kutokana na Rahma Ya Allah Arhama Arahimin? Eee hakika waliobilisiwa walio kata tama kutokana na Rahma ya Allah wako katika Adhabu ya milele humo watadumu katika moto, Na Sababu Ya kubaki kwao katika adhabu ya Allah nayo ni kwasababu ya kubilisiwa kukata tama kwao kutokana na Rahma Yake na wanangoja kwamba Awrehem mwengine pasi Nae ndio awashufaie mbele ya mikono Ya Mola Mlezi wao, Basi Mcheni Allah enyi ma3ashara Ya waliobilisika na Rahma Ya Allah na mukumbuke kauli ya Allah Ta3ala:
    {حَتَّىٰ إِذَا فَتَحْنَا عَلَيْهِم بَابًا ذَا عَذَابٍ شَدِيدٍ إِذَا هُمْ فِيهِ مُبْلِسُونَ ﴿٧٧﴾} صدق الله العظيم [المؤمنون].
    Allah Ta3ala Asema: { Mpaka tulipo wafungulia mlango wa adhabu kali, hapo ndipo wakawa wenye kukata tamaa(77)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almuminun].


    Na lau mungekua mumetosheka na Rahma Ya Allah Arhama Arahimin kwamba ishufaie kwenu Rahma Yake kutokana Na Adhabu Yake hamungeitakidi kwa shafaa ya waja baina ya Mikono ya Mola Mlezi Anae Abudiwa, Na je mun


    aitakidi kama wanavo itakidi wanao abudu ma sanamu Masanamu Ya kaumu ya Swaleh kwasababu kuzidisha mubalagha ya ma umma kabla yao ju ya ma wali wa Allah Na Ma Nabi Wake Kwamba wao ni mashafi wao kwa Allah Subhanahu wa Ta3ala 3uluwan Kabira? Na Akasema Allah Ta3ala:
    {وَيَعْبُدُونَ مِن دُونِ اللَّـهِ مَا لَا يَضُرُّهُمْ وَلَا يَنفَعُهُمْ وَيَقُولُونَ هَـٰؤُلَاءِ شُفَعَاؤُنَا عِندَ اللَّـهِ ۚ قُلْ أَتُنَبِّئُونَ اللَّـهَ بِمَا لَا يَعْلَمُ فِي السَّمَاوَاتِ وَلَا فِي الْأَرْضِ ۚ سُبْحَانَهُ وَتَعَالَىٰ عَمَّا يُشْرِكُونَ ﴿١٨﴾} صدق الله العظيم [يونس].
    Allah Ta3ala Asema: { Nao, badala ya Mwenyezi Mungu, wanaabudu wasio wadhuru wala kuwanufaisha, na wanasema: Hawa ndio waombezi wetu kwa Mwenyezi Mungu! Sema: Je! Mnamwambia Mwenyezi Mungu asiyo yajua ya katika mbingu wala katika ardhi? Subhanahu wa Taa'la! Ametakasika na ametukuka na hao wanao mshirikisha naye} Sadaqa Allah Al3adhim [Yunus].


    Ispokua inapotea siri ya kuabudu masanamu kwa ma umma ambao wamefwata babazao wamwanzo ambao mubalighi wanaozidisha ju ya waja wa Allah walio kurubishwa na wao ni waja wa Allah kama wao na wanao haki kwa Allah kama walio nayo ma Nabi Wake na ma Wali Wake wema wanao shindana kwa Mola Mlezi wao yupi atakua karibu, Basi haitakiwe kwa mja Anamwabudu Allah Pekeyake Hana mshirika Nae alafu anatanazal kwa kuwacha kushindana kwa kumpenda Allah na kuwa karibu nae kwa ma Nabi Wake Na Ma Wali wake wanao Abudu, Ama mutawapata Wanafadhilisha kwa Allah kwa moja wao kwamba awe yeye ndio alio karibu? Basi munakurba ya nani munafadhilisha kwa Allah Ambae Ni Haki! Basi nini baada ya haki ispokua ni upotevu? Sema leteni ushuhuda wenu ikiwa nyinyi ni wakweli? Bali hakika nyinyi ni warongo enyi Waja wa Waja Wa Allah Walio kurubishwa. Basi Kumbukeni Kauli Ya Allah Ta3ala:
    {أُولَـٰئِكَ الَّذِينَ يَدْعُونَ يَبْتَغُونَ إِلَىٰ رَبِّهِمُ الْوَسِيلَةَ أَيُّهُمْ أَقْرَبُ وَيَرْجُونَ رَحْمَتَهُ وَيَخَافُونَ عَذَابَهُ ۚ إِنَّ عَذَابَ رَبِّكَ كَانَ مَحْذُورًا ﴿٥٧﴾} صدق الله العظيم [الإسراء].
    Allah Ta3ala Asema: { Hao wanao waomba, wao wenyewe wanataka kwa Mola wao Mlezi Alwasila - yupi miongoni mwao alio karibu mno - na wanataraji rehema zake na wanaikhofu adhabu yake. Hakika adhabu ya Mola wako Mlezi yafaa kutahadhari nayo (57)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alisra].


    Ama Alwasila peke ni ya Mitume Wake pasi na wanao wafwata wao?
    Sema Leteni ushuhuda wenu ikiwa ni wakweli? Na Akasema Allah Ta3ala:
    : {يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اتَّقُوا اللَّهَ وَابْتَغُوا إِلَيْهِ الْوَسِيلَةَ} صدق الله العظيم [المائدة:35].
    Allah Ta3ala Asema:{ Enyi mulio amini mcheni Allah na mutake kwake Alwasila} Sadaqa Allah Al3adhim [Almaida:35].


    Basi nani huyo alio wakataza kwa kushindana na Ma Nabi Wa Allah Na Ma Wali Wake Waliowafwata wao ambao wanao shindana wao na Mitume Wake Yupi Kati yao atakua karibu na wanataraji Rahma yake na wanaogopa adhabu yake? Na vipi Watasubutu kwamba wawashufaie nyinyi baina ya Mikono Ya Allah? Na Wala haitakiwi kwa mja kwamba atake kutoka kwa Allah shafaa kwajili ya waja baina ya Mikono Ya Mola Mlezi Anae Abudiwa kwakua yeye sio mwenye huruma zaidi kuliko Allah Arhama Arahimin, Subhanahu Ametukuka! Na Wote ma Nabi wamehadharisha kaumu yao kutokana na akida ya shafaa kutoka kwa waja kwenda kwa waja mbele ya Mikono ya Mola Mlezi Anae Abudiwa, Na hakika Allah Atawauliza Mitume Wake na Ma imamu wa kitabu Alafu Atawambia wao je nyinyi mumewapoteza waja wangu hawa mukawambia wao kwamba nyinyi ndio ma shafii wao mbele ya Mikono ya Mola Mlezi Wao, Ama Wao wamepotea njia baada yenu kwa sababu ya kuzidisha kuwatukuza nyinyi na hawakufwata ukumbusho nilio teremsha kwenu? Basi njoni tuangalie Suali la Allah kwa ma Nabi Wake na ma imamu Wa Kitabu, Na Angalieni Jibu lau kwa kujibu kwa Haki kwa Mola Mlezi wao. Na Akasema Allah Ta3ala:
    {وَيَوْمَ يَحْشُرُهُمْ وَمَا يَعْبُدُونَ مِن دُونِ اللَّـهِ فَيَقُولُ أَأَنتُمْ أَضْلَلْتُمْ عِبَادِي هَـٰؤُلَاءِ أَمْ هُمْ ضَلُّوا السَّبِيلَ ﴿١٧﴾ قَالُوا سُبْحَانَكَ مَا كَانَ يَنبَغِي لَنَا أَن نَّتَّخِذَ مِن دُونِكَ مِنْ أَوْلِيَاءَ وَلَـٰكِن مَّتَّعْتَهُمْ وَآبَاءَهُمْ حَتَّىٰ نَسُوا الذِّكْرَ وَكَانُوا قَوْمًا بُورًا ﴿١٨﴾ فَقَدْ كَذَّبُ وكُم بِمَا تَقُولُونَ فَمَا تَسْتَطِيعُونَ صَرْفًا وَلَا نَصْرًا ۚوَمَن يَظْلِم مِّنكُمْ نُذِقْهُ عَذَابًا كَبِيرًا ﴿١٩﴾ وَمَا أَرْسَلْنَا قَبْلَكَ مِنَ الْمُرْسَلِينَ إِلَّا إِنَّهُمْ لَيَأْكُلُونَ الطَّعَامَ وَيَمْشُونَ فِي الْأَسْوَاقِ ۗوَجَعَلْنَا بَعْضَكُمْ لِبَعْضٍ فِتْنَةً أَتَصْبِرُونَ ۗ وَكَانَ رَبُّكَ بَصِيرًا ﴿٢٠﴾} صدق الله العظيم [الفرقان].
    Allah Ta3ala Asema: { Na siku atakapo wakusanya wao na hao wanao waabudu, na akasema: Je! Ni nyinyi mlio wapoteza waja wangu hawa, au wao wenyewe walipotea njia (17) Watasema: Subhanak, Umetakasika na upungufu! Haikutupasia sisi kuchukulia walinzi badala yako, lakini Wewe uliwastarehesha wao na baba zao hata wakasahau kukumbuka, na wakawa watu walio angamia (18) Basi walikukanusheni kwa mliyo yasema. Kwa hivyo hamwezi kujiondolea wala kujisaidia. Na atakaye dhulumu miongoni mwenu tutamwonjesha adhabu kubwa (19) Na hatukuwatuma kabla yako Mitume wowote ila kwa hakika na yakini walikuwa wakila chakula, na wakenda masokoni. Na tumewajaalia baadhi yenu wawe ni majaribio kwa wengine; je! Mtasubiri? Na Mola wako Mlezi ni Mwenye kuona (20)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alfurqan].


    Na enye Ma3ashara ya wote wanazuoni wa waislamu na waislamu wa kawaida wote na watu wote, Kuweni Mashahidi ju ya nafsi zenu kwamba imebainika kwenu kwamba nyinyi mulikua muko ju ya batil nyote mwislamu kati yenu na kafiri muko sawa, Ama wadai waislamu kwamba wao ndio wako katika njia ya uongofu kuliko makafiri? Na Alafu anarudisha jibu Al'Imam Al'Mahdi kwa waislamu niseme: Wallah Thuma Wallah lau mutaswali usiku na mchana kwajili ya Allah na mukatoa nafaka jabali la dhahabu na nyinyi munaitakidi kwa shafaa ya Muhammad Mtume Wa Allah kwenu mbele ya Mikono ya Allah basi hakika ya Allah Atateremsha amali yenu basi hatotakabali nazo kitu alafu motoni mutaingizwa, Hivi hakuwapa fatwa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleuhi Wa Alihi Wa Salam kwanba yeye hatosubutu kushufaia hata kwa mtoto wake wa peke, Na kwamba haitofa mtoto wake wa kike ispokua amali yake na kuifanya kwajili ya Mola Mlezi wake; Awe ataraji Rahma yake na kuogopa adhabu yake; Kuitakidi kwake kwa Rahma Ya Allah na kwamba hana yeye pasi na Allah Wali wala Shafii? Na akasema Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:
    [يا فاطمة بنت محمد اعملي لنفسك فإني لا أغني عنك من الله شيئاً] صدق عليه الصلاة والسلام.
    [Ya Fatima Binti Muhammad tenda kwajili ya nafsi yako hakika mimi sitokusaidia mbele ya Allah Kitu] Sadaqa Aleyhi Asalat wa Asalam.


    Basi ikiwa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Hasubutu kwamba amshufaie kwa mtoto wake wa kike basi vipi atawashufaia umma wake? Hivi hamufkiri !


    Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
    {لَن تَنفَعَكُمْ أَرْحَامُكُمْ وَلَا أَوْلَادُكُمْ ۚ يَوْمَ الْقِيَامَةِ يَفْصِلُ بَيْنَكُمْ ۚوَاللَّـهُ بِمَا تَعْمَلُونَ بَصِيرٌ ﴿٣﴾} صدق الله العظيم [الممتحنة:3]،
    Allah Ta3ala Asema: { Hawatakufaeni jamaa zenu, wala watoto wenu Siku ya Kiyama. Mwenyezi Mungu atapambanua baina yenu, na Mwenyezi Mungu anayaona mnayo yatenda (3)} Sadaqa Allah Al3adhim
    Kwajili Ya Hivi Amesema Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam:
    [يا فاطمة بنت مُحمد اعملي لنفسك فإني لا أغني عنك من الله شيئاً] صدق محمد رسول الله صلّى الله عليه وآله وسلّم.
    [Ya Fatima Binti Muhammad tenda kwajili ya nafsi yao hakika mimi sitokusaidia mbele ya Allah Kitu] Sadaqa Aleyhi Asalat wa Asalam.


    Na Alafu imebainika kwetu hadithi ilio zushwa kwa Nabi urongo kwamba Muhamnad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam, Anashufaia Watu kama itakavo fwata:
    Basi Watamfwata Adam Watamwambia Yeye washufaie kizazi chako, Atasema: Sio mimi nae weza, Lakini mfwateni ibrahim, Hakika yeye ni Rafiki Wa Allah, Basi watamfwata ibrahim, Basi Atasema: sio mimi nae iweza, Lakini mfwateni Musa, Hakika yeye ni Mwenye Kuzungumza na Allah, Basi wamfwate Musa, Aseme: Sio mimi nae iweza, Lakini mfwateni Isa, Hakika yeye ni Roho Ya Allah Na maneno yake, Basi wamfwate isa, Aseme: Sio mimi nae weza, Lakini mfwateni Muhammad Alafu nije na niseme: Mimi nae iweza, Alafu niruke kutaka idhini kwa Mola Mlezi Wangu, Basi nipewe idhinimm, Basi nismame mbele ya Mikono Yake, Basi nimhimidi kwa himdi siwezi ispokua anipe ilham nayo, Alafu nianguke kumsujudia Mola Mlezi Wetu, Basi Atasema: Ewe Muhammad, inuwa kichwa chako, Na useme utasikizwa, Na omba utapewa, Na shufuia utashufuie, basi Niseme, Ewe Mola Mlezi Wangu, Umma wangu umma wangu, Basi Niambiwe mimi: kimbia, Basi Atakae Kua kwenye moyo wake imani kiasi Tembe ya nganu ama mahindi basi mtowe ndani yake, Basi nikimbie alafu nifanye hivo, alafu nirudi Kwa Mola Mlezi Wangu Nimhimidi kwa ile himdi, Alafu nianguke kwake kumsujudia, Basi niambiwe mimi, Ewe Muhammad, Inua kichwa chako, Na sema utasikizwa, Na uliza utapewa, Na shufaia utashufaia, Basi Niseme: Ewe Mola Mlezi Wangu Umati Wangu Umati Wangu, Niambiwe Mimi: Kimbia, Basi Atakae Kua Katika moyo wake tone la imani basi mtowe ndani yake, Basi nikimbie nifanye alafu nirudi kwa Mola Mlezi wangu nimhimidi kwa ile himdi, Alafu Nianguke kumsujudia yeye, Niambiewe mimi, Ewe Muhammad, Inua kichwa chako, Na sema utasikizwa, Na uliza utapewa, Na shufaia utashufaia, Niseme: Ewe Mola Mlezi wangu, Umma wangu umma wangu, Alafu niambiwe mimi: Kimbia, Basi atakae kua katika moyo wake chini chini chini ya toni la imani Basi mtowe ndani ya Moto basi nikimbie nifanye.


    imeisha hadithi ya shetani maluni ambao imezushwa ju ya Mtume Wa Allah Alkarim kwa ulimi ya mawali wake ma shetani watu wale ambao wanadhihirisha imani na wanaficha ukafiri ili wazuwie kwa ukumbusho, Na nakusudia alie izusha akawa na kiburi wala sikusudii alie toa riwaya kwa kudhani kwake ni kutoka kwa Mtume Wa Allah, Lakini hazikashifiwi kwenu ma hadithi ambazo za urongo kwa Nabi ispokua kuipitisha kwa ma Aya mama wa kitabu Ambazo ni muhakam ziko wazi maana yake, Basi ikiwa hadithi ni ya ki Nabawi Katika sunna za kweli kutoka kwa Allah na Mtume Wake Basi Hatimai haitokhalifu Al'Quran, Na ama ikiwa ni katika ma hadithi ya shetani wale ambao wanadhihirisha imani na wanaficha ukafiri ili wazuwie waislamu kwa kufwata ukumbusho Al'Quran Al3adhim Basi hatimai mutaenda kupata baina ya hadithi ya uzushi ju ya Allah na Mtume wake na baina ya Muhakama ilio wazi maana yake Al'Quran Al3adhim ikhitilafu nyingi kwakua Al'Quran Al3adhim imehifadhiwa kutokana na kuongeza maherufu na kuzaifu, Kwajili ya hivo Ameifanya Allah Kitabu ambao ni maregeo ambao inatawala ju ya Taurati na injili na mahadithi katika Sunna za kinabawi, Basi ile ambao kati yake imekuja imekhalifu muhakam Al'Quran Al3adhim basi mujuwe inyi ma3ashara ya waislamu kwamba hio hadithi imezushwa imewajia kutoka kwa asie Allah Na Mtume Wake, Ama kwamba nyinyi hamjuwi kwa wanafik wale amabao wanadhihirisha imani na wanaficha ukafiri; Wale ambao wamejichanganya na ma swahaba wa Mtume Wa Allah Kimoyo inje ndani? Basi wote ni waislamu dhahiri ya jambo wametangaza twa'a na kufwata utawala Wa Allah na Mtume Wake ispokua kipoti katika ma tabiina wanadhihirisha imani na wanaficha ukafiri, Na walikua hiwapiti darasa lolote katika vikao va kubaini kwa Nabi ili wapate imani ya waislamu ndio walaze ma hadithi mpaka baada kufa Nabi ndio waitowe kwa watu alafu zinakuja zimekhalifu kwa mahadithi za Mtume wa Allah kutoka kwa Maswahaba wake kimoyo inje ndani, Na hivo hivo zinakuja zimekhalifu kwa muhakam ilio wazi maana yake ma Aya ni mama wa kitabu ambazo baini katika Al'Quran Al3adhim, Akasema Allah Ta3ala:
    {مَّن يُطِعِ الرَّسُولَ فَقَدْ أَطَاعَ اللَّـهَ ۖ وَمَن تَوَلَّىٰ فَمَا أَرْسَلْنَاكَ عَلَيْهِمْ حَفِيظًا ﴿٨٠﴾ وَيَقُولُونَ طَاعَةٌ فَإِذَا بَرَزُوا مِنْ عِندِكَ بَيَّتَ طَائِفَةٌ مِّنْهُمْ غَيْرَ الَّذِي تَقُولُ ۖ وَاللَّـهُ يَكْتُبُ مَا يُبَيِّتُونَ ۖ فَأَعْرِضْ عَنْهُمْ وَتَوَكَّلْ عَلَى اللَّـهِ ۚ وَكَفَىٰ بِاللَّـهِ وَكِيلًا ﴿٨١﴾ أَفَلَا يَتَدَبَّرُونَ الْقُرْآنَ ۚ وَلَوْ كَانَ مِنْ عِندِ غَيْرِ اللَّـهِ لَوَجَدُوا فِيهِ اخْتِلَافًا كَثِيرًا ﴿٨٢﴾} صدق الله العظيم [النساء].
    Allah Ta3ala Asema: { Mwenye kumt'ii Mtume basi ndio amemt'ii Mwenyezi Mungu. Na anaye kengeuka, basi Sisi hatukukutuma wewe uwe ni mlinzi wao (80) Na wanasema: Tunat'ii. Lakini wanapo toka kwako kundi moja miongoni mwao hupanga njama usiku kinyume na unayo yasema. Na Mwenyezi Mungu ana yaandika yote hayo wanayo yapangia njama za usiku. Basi waachilie mbali, na umtegemee Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ni Mtegemewa wa kutosha (81) Na wanasema: Tunat'ii. Lakini wanapo toka kwako kundi moja miongoni mwao hupanga njama usiku kinyume na unayo yasema. Na Mwenyezi Mungu anayaandika yote hayo wanayo yapangia njama za usiku. Basi waachilie mbali, na umtegemee Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ni Mtegemewa wa kutosha (82)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa].


    Na kiasi gani nimewatajia nyinyi na kukariri ulinganizi wa kuhukumu kwa kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim kwa kupitisha yale mulio nayo ju ya Muhakam ilio wazi maana yake Ma Aya ya Kitabu ambazo baini nazo ni mama msingi wa kitabu ili kukashifu ma hadithi zilio za urongo ju ya Nabi, basi tunasafisha Sunna za Muhammad Mtume Wa Allah katika ma hadithi ambazo za uzushi na tuzitahirishe kuzitahirisha, Na nawajahidi kwa muhakam ilio wazi Al'Quran jihadi kubwa, Na niwarudishe kwa njia ya Unabi wa mwanzo ju ya kitabu cha Allah na Sunna za Mtume Wake, Basi mukakata enyi ma3ashara Ya Waku wa wanazuoni wa waislamu baada kubainika kwa wengi kati yenu kwamba ni haki! Na wale hawafkiri wanasubiri kusadikisha kwenu na wanakadhibu Akili zao ambazo Amezifanya pamoja na Bayana ya haki ya Al'Quran Al3adhim kwakua hazipofuki macho lakini zinapofoka nyoyo ambazo ziko kwa kifua, Fa Wallah Thuma Wallah hapana wala hawatofata Bayana ya haki ya Al'Quran kwa Al'Quran ya Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani ila wale wanao fikiria sawa iwe ni katika wanazuoni wa waislamu ama waislamu wa kwaida, Ama wale Ambao Hawatofkiria Basi ni watu wa motoni, Na hatimai watasema kama mfano wa kauli ya Watu wa Motni. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
    {وَقَالُوا لَوْ كُنَّا نَسْمَعُ أَوْ نَعْقِلُ مَا كُنَّا فِي أَصْحَابِ السَّعِيرِ ﴿١٠﴾} صدق الله العظيم [الملك].
    Allah Ta3ala Asema: { Wakasema lau tungekua tunasikia ama tunafkiria hatungekua katika watu wa motoni (10)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alshuara].


    Basi hawatowasaidia kwenu wanazuoni wa umma wanao kanusha kitu kutokana na adhabu ya Allah, Basi mcheni Allah enye wenye akili, Basi hatokumbuka ila wenye akili ambao ni wabora katika kinacho tembea, Na muitikie kabla ya mtingisho wa neizak kijisayari cha adhabu ama kabla haijapita sayari ya Saqar yenye mivua ya mawe, Na muitikieni mlinganizi wa haki kutoka Mola Mlezi wenu, Na muingie kwa wingi tuvoti yetu kwa sura zenu na majina yenu za kweli katika meza ya mazungumzo ya walimwengu basi haitonitosha pamoja na nyinyi ispokua hapo, Na mukimbilie enyi ma3ashara ya waislamu kwa kutoa beyaa kwa Allah katika sehemu ya beyaa katika meza ya mazungumzo na mufanye kwa wingi mambo ya kheri ili isiwaguse ubaya hakika Adhabu ya Allah inakuja; Bali imekurubia.


    Na Mujuwe Kwamba idadi ya miuezi kwa Allah miyezi kumi na mbili Katika kitabu cha Allah siku Alipo Umba mbingu na ardhi kabla kuzaliwa ma Nabi wenu na kufanya hijra kwao, Na ndani yake miyezi mi inne Za haram, Na mwisho wa mwaka wenu hu mwezi wa muharam wa inne katika miyezi ya haram na ni wa mwisho wa al'qamaria, Na inaanza mwaka wa kiqamari kuanzia mwezi wa Safar.


    Lakini Wanao fanya kiburi nawabashiri kwa adhabu ya siku ya moshi kutoka kwa Mola Mlezi wa ulimwengu kwakua imebainika kwao haki kutoka kwa Mola Mlezi wao Na wanamkanusha, Basi nani atawakinga wao kutokana na adhabu karibu kwenye milango ya saa Tisa katika siku fulani kwa mwezi fulani? Allahuma nimebalighisha Alahuma Shuhudia, Na Salam Ju Ya Mitume, Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin..


    Mja Wa Allah Na Khalifa Wake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
    عبدُ الله وخليفته الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
    _________

    اقتباس المشاركة 294082 من موضوع تحذيرٌ إلى كافة المؤمنين بالله ثم ألبسوا إيمانهم بظلمِ الشرك بالله؛ إنّ الشرك لظلمٌ عظيمٌ ..


    الإمام ناصر محمد اليماني
    23 - ذو الحجّة - 1439 هـ
    03 - 09 - 2018 مـ
    11:04 صباحاً
    ( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )

    ــــــــــــــــــــــــ



    تحذيرٌ إلى كافة المؤمنين بالله ثم ألبسوا إيمانهم بظلمِ الشرك بالله؛ إنّ الشرك لظلمٌ عظيمٌ ..

    بسم الله الرحمن الرحيم أرحم الراحمين، والصلاة والسلام على كافة أنبياء الله أجمعين ومن تبعهم من المؤمنين بالله وحده ولم يُلبسوا إيمانهم بالشرك بالله أحداً من عباده، أولئك لهم الأمن من عذاب الله في الدنيا والآخرة، وقد اقترب عذاب الله، وإني لكم لمن الناصحين فاسمعوا وعُوا فلا أحذّركم إلا ما حذّر به رسلُ الله أجمعين أن لا تعبدوا إلا الله وحده فلا تدعوا مع الله أحداً في الحياة الدنيا وفي الآخرة، واعلموا أنّ الله أرحم الراحمين فلا تلتمسوا الرحمة من عذابه عند أحدٍ من عباده الصالحين من الأنبياء والأولياء الصالحين فذلك كفرٌ بأنّ الله أرحم الراحمين، فلا ينبغي أن يكون هناك عبدٌ لله هو أرحمُ بكم من الله أرحم الراحمين، واعلموا أنّما ابتعث الله رسله إلى عباده لينذروهم من الشرك بالله وأنْ ليس لهم من دون الله نبيٌّ ولا وليٌّ يشفعُ لهم بين يدي الله أرحم الراحمين؛ من أوّل نبيٍّ إلى خاتمهم محمد رسول الله صلّى الله عليه وعليهم أجمعين وعلى من استجاب لدعوتهم في كلّ زمانٍ ومكانٍ إلى يوم الدين. تصديقاً لقول الله تعالى:
    {وَلَقَدْ أُوحِيَ إِلَيْكَ وَإِلَى الَّذِينَ مِن قَبْلِكَ لَئِنْ أَشْرَكْتَ لَيَحْبَطَنَّ عَمَلُكَ وَلَتَكُونَنَّ مِنَ الْخَاسِرِينَ ﴿٦٥﴾} صدق الله العظيم [الزمر].

    فاستجاب رسلُ الله لأمر ربهم وأنذروا عباده أنّ من أشرك بالله ليحبطنّ عمله فلا يتقبل منه شيئاً فيكون من الخاسرين، فَصَدَعَ رسلُ الله بأمر الله لعباده أن لا يشركوا بالله وأنذروا العباد أن ليس لهم من دون الله لا وليٌّ ولا نبيٌّ يَشفع لهم بين يدي الله.

    تصديقاً لقول الله تعالى:
    {اللَّـهُ الَّذِي خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ وَمَا بَيْنَهُمَا فِي سِتَّةِ أَيَّامٍ ثُمَّ اسْتَوَىٰ عَلَى الْعَرْشِ ۖ مَا لَكُم مِّن دُونِهِ مِن وَلِيٍّ وَلَا شَفِيعٍ ۚ أَفَلَا تَتَذَكَّرُونَ ﴿٤﴾} صدق الله العظيم [السجدة].
    وتصديقاً لقول الله تعالى:
    {وَأَنذِرْ بِهِ الَّذِينَ يَخَافُونَ أَن يُحْشَرُوا إِلَىٰ رَبِّهِمْ ۙ لَيْسَ لَهُم مِّن دُونِهِ وَلِيٌّ وَلَا شَفِيعٌ لَّعَلَّهُمْ يَتَّقُونَ ﴿٥١﴾} صدق الله العظيم [الأنعام].

    فكيف تعتقدون بحديث الإفك على رسول الله محمدٍ صلّى الله عليه وآله وسلّم أنه قال:
    [أنا لها، أنا شفيعكم يوم الدين بين يدي ربّ العالمين]؟!! وإني الإمام المهديّ أقول يا أسفي على المسلمين فجميعهم يعتقدون أنّ محمداً رسول الله شفيعهم يوم الدين، فأحبطَ الله أعمالهم فلا يتقبل منهم أعمالهم. فوالله ثم والله لا يستجيب لدعوة الإمام المهديّ إلا أولو الألباب المتدبّرون لآيات أمّ الكتاب في محكم القرآن العظيم، فلسنا بحاجةٍ إلى تفسيرٍ ولا تأويلٍ من علماء المسلمين لعامة المسلمين في العالمين، ولا يكفر بها فيتّبع ما يخالفها إلا الفاسقون. تصديقاً لقول الله تعالى: {وَلَقَدْ أَنزَلْنَا إِلَيْكَ آيَاتٍ بَيِّنَاتٍ ۖ وَمَا يَكْفُرُ بِهَا إِلَّا الْفَاسِقُونَ ﴿٩٩﴾} صدق الله العظيم [البقرة]. كونهنّ الأساس لعبادة الله وحده لا شريك له. ولكن المسلمين المؤمنين بالله وكتبه ورسله يُعرضون عن آياتٍ هُنّ أمّ الكتاب في محكم القرآن العظيم فيعتقدون بما جاء مخالفاً لهنّ في الأحاديث المدسوسة في سنّة رسول الله؛ جاءتهم من عند غير الله ورسوله ومُخالفةٌ لمحكم كتاب الله ومخالفةٌ لأحاديث محمدٍ رسول الله في السُّنة النبويّة الحقّ! فكيف يحسب أنه على الهدى من اتّبع ما يخالف لمحكم كتاب الله وسنّة رسوله الحقّ صلى الله عليه وعلى من اتّبع دعوته من المؤمنين وأسلّم تسليماً؟

    فيا أسفي على المؤمنين بالله ثم ألبسوا إيمانهم بظلم الشرك، إنّ الشرك لظلمٌ عظيمٌ لأنفسهم، فلا يتقبل الله صلاتهم ولا كافة أعمالهم حتى يؤمنوا بالله وحده لا شريك له، فلا شفيع لكم من دونه، فإذا لم يرحمكم الله فمن ذا الذي هو أرحم بكم من الله فيشفع لكم بين يدي الله أرحم الراحمين؟ وقال الله تعالى:
    {وَمَا يُؤْمِنُ أَكْثَرُهُم بِاللَّـهِ إِلَّا وَهُم مُّشْرِكُونَ ﴿١٠٦﴾} صدق الله العظيم [يوسف].

    وإني الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني مُستغنٍ برحمة الله في الدنيا وفي الآخرة، فلا أدعو مع الله أحداً، ولا أعتقد بشفاعة أنبياء الله وأوليائه أن يشفعوا لي بين يدي الله من عذابه، فإن اعتقدت بشفاعة العبيد بين يدي الربّ المعبود فلن أجد لي من دون الله ملتحداً ولن يغني عني أحدٌ من عذابه، فلا أرجو إلا رحمة الله، فمن ذا الذي هو أرحم بي من الله أرحم الراحمين؟ فَمَنْ اعتقد بما يعتقد به الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني فقد صدّق بالقرآن العظيم وصدّق بأحاديث رسوله الحقّ، فيا للعجب يا معشر المسلمين في العجم والعرب فكيف تصدّقون بالباطل وتتّبعونه وتعرضون عن الحقّ في محكم القرآن وعن الحقّ في أحاديث سنّة البيان؟ فكيف ترون الحقّ باطلاً والباطل حقّاً! فهل أنتم مسلمون أم مُبلسون من رحمة الله أرحم الراحمين؟ ألا وإنّ المُبلسين من رحمة الله في عذاب الله خالدون في النار، وسبب بقائهم في عذاب الله هو بسبب إبلاسهم من رحمته وينتظرون أن يرحمهم سواه فيشفع لهم بين يدي ربهم، فاتقوا الله يا معشر المُبلسين من رحمة الله وتذكّروا قول الله تعالى:
    {حَتَّىٰ إِذَا فَتَحْنَا عَلَيْهِم بَابًا ذَا عَذَابٍ شَدِيدٍ إِذَا هُمْ فِيهِ مُبْلِسُونَ ﴿٧٧﴾} صدق الله العظيم [المؤمنون].

    ولو كنتم مستغنين برحمة الله أرحم الراحمين أن تشفع لكم رحمته من عذابه لما اعتقدتم بشفاعة العبيد بين يدي الربّ المعبود، فهل تعتقدون كما يعتقد عبيد الأصنام تماثيل قومٍ صالحين بسبب مبالغة أممٍ من قبلهم في أولياء الله وأنبيائه أنهم شفعاؤهم عند الله سبحانه وتعالى علواً كبيراً؟ وقال الله تعالى:
    {وَيَعْبُدُونَ مِن دُونِ اللَّـهِ مَا لَا يَضُرُّهُمْ وَلَا يَنفَعُهُمْ وَيَقُولُونَ هَـٰؤُلَاءِ شُفَعَاؤُنَا عِندَ اللَّـهِ ۚ قُلْ أَتُنَبِّئُونَ اللَّـهَ بِمَا لَا يَعْلَمُ فِي السَّمَاوَاتِ وَلَا فِي الْأَرْضِ ۚ سُبْحَانَهُ وَتَعَالَىٰ عَمَّا يُشْرِكُونَ ﴿١٨﴾} صدق الله العظيم [يونس].

    وإنما يختفي سرّ عبادة الأصنام عن الأمم الذين اتّبعوا آباءهم الأولين المُبالغين في عباد الله المقربين وهم عبادٌ لله أمثالهم ولهم الحقّ في الله ما لأنبيائه وأوليائه الصالحين المتنافسين إلى ربهم أيهّم أقرب، فلا ينبغي لعبدٍ يعبد الله وحده لا شريك له ومن ثم يتنازل عن المنافسة في حبّ الله وقربه لأنبيائه وأوليائه العابدين، أم تجدونهم تَفضّلوا بالله لأحدهم أن يكون هو الأقرب؟ فقربةً إلى من تتفضلون بالله الحقّ! فماذا بعد الحقّ إلا الضلال؟ قل هاتوا برهانكم إن كنتم صادقين؟ بل إنكم لكاذبون يا عبيدَ عباد الله المقربين، فتذكّروا قول الله تعالى:
    {أُولَـٰئِكَ الَّذِينَ يَدْعُونَ يَبْتَغُونَ إِلَىٰ رَبِّهِمُ الْوَسِيلَةَ أَيُّهُمْ أَقْرَبُ وَيَرْجُونَ رَحْمَتَهُ وَيَخَافُونَ عَذَابَهُ ۚ إِنَّ عَذَابَ رَبِّكَ كَانَ مَحْذُورًا ﴿٥٧﴾} صدق الله العظيم [الإسراء].

    أم إنّ الوسيلة حصرياً لرسله من دون التابعين لهم؟ قل هاتوا برهانكم إن كنتم صادقين. وقال الله تعالى:
    {يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اتَّقُوا اللَّهَ وَابْتَغُوا إِلَيْهِ الْوَسِيلَةَ} صدق الله العظيم [المائدة:35].

    فمن الذي منعكم من منافسة أنبياء الله وأوليائه التّابعين لهم المتنافسين هم ورسله أيّهم أقرب ويرجون رحمته ويخافون عذابه؟ فأنّى يتجرأون أن يشفعوا لكم بين يدي الله؟ وما ينبغي لعبدٍ أن يطلب من الله الشفاعة للعبيد بين يدي الربّ المعبود كونه ليس بأرحم من الله أرحم الراحمين، سبحانه! وجميع أنبياء الله حذّروا أقوامهم من عقيدة الشفاعة من العبيدِ للعبيدِ بين يدي الربّ المعبود، ولسوف يَسأل اللهُ رسلَه وأئمةَ الكتاب فيقول لهم هل أنتم أضللتم عبادي هؤلاء فقلتم لهم أنكم شفعاؤهم بين يدي ربهم، أم هم ضلّوا السبيل من بعدكم بسبب المبالغة فيكم ولم يتّبعوا الذِّكر الذي أنزلته عليكم؟ فتعالوا لننظر إلى سؤال الله لأنبيائه وأئمة الكتاب، وانظروا ردّهم بالجواب بالحقّ على ربهم. وقال الله تعالى:
    {وَيَوْمَ يَحْشُرُهُمْ وَمَا يَعْبُدُونَ مِن دُونِ اللَّـهِ فَيَقُولُ أَأَنتُمْ أَضْلَلْتُمْ عِبَادِي هَـٰؤُلَاءِ أَمْ هُمْ ضَلُّوا السَّبِيلَ ﴿١٧﴾ قَالُوا سُبْحَانَكَ مَا كَانَ يَنبَغِي لَنَا أَن نَّتَّخِذَ مِن دُونِكَ مِنْ أَوْلِيَاءَ وَلَـٰكِن مَّتَّعْتَهُمْ وَآبَاءَهُمْ حَتَّىٰ نَسُوا الذِّكْرَ وَكَانُوا قَوْمًا بُورًا ﴿١٨﴾ فَقَدْ كَذَّبُوكُم بِمَا تَقُولُونَ فَمَا تَسْتَطِيعُونَ صَرْفًا وَلَا نَصْرًا ۚوَمَن يَظْلِم مِّنكُمْ نُذِقْهُ عَذَابًا كَبِيرًا ﴿١٩﴾ وَمَا أَرْسَلْنَا قَبْلَكَ مِنَ الْمُرْسَلِينَ إِلَّا إِنَّهُمْ لَيَأْكُلُونَ الطَّعَامَ وَيَمْشُونَ فِي الْأَسْوَاقِ ۗوَجَعَلْنَا بَعْضَكُمْ لِبَعْضٍ فِتْنَةً أَتَصْبِرُونَ ۗ وَكَانَ رَبُّكَ بَصِيرًا ﴿٢٠﴾} صدق الله العظيم [الفرقان].

    ويا معشر كافة علماء المسلمين وعامتهم أجمعين والناس كافةً، كونوا شهداء على أنفسكم أنه تبيّن لكم أنّكم كنتم على الباطل جميعاً المسلم منكم والكافر سواء، أم يزعم المسلمون أنهم أهدى من الكافرين سبيلاً؟ فمن ثمّ يردّ الإمام المهديّ على المسلمين وأقول: والله ثم والله لو صلّيتم الليل والنهار لله وأنفقتم جبالاً من ذهبٍ وأنتم تعتقدون بشفاعة محمدٍ رسول الله لكم بين يدي الله فإنّ الله ليحبطنّ أعمالكم فلا يتقبل منها شيئاً ثم في النار تُسجرون، ألم يفتِكم محمدٌ رسول الله صلّى الله عليه وآله وسلّم أنه لا يتجرأ أن يشفع حتى لابنته الوحيدة، وأنه لن ينفعها إلا عملها وإخلاصها لربّها؛ راجية رحمته وتخشى عذابه؛ معتقدةً برحمة الله وأن ليس لها من دون الله من وليٍّ ولا شفيعٍ؟ وقال محمدٌ رسول الله صلّى الله عليه وآله وسلم:
    [يا فاطمة بنت محمد اعملي لنفسك فإني لا أغني عنك من الله شيئاً] صدق عليه الصلاة والسلام. فإذا كان محمدٌ رسول الله صلّى الله عليه وآله وسلّم لا يجرؤ أن يشفع لابنته فكيف يشفع لأمّته؟ أفلا تعقلون!

    تصديقاً لقول الله تعالى:
    {لَن تَنفَعَكُمْ أَرْحَامُكُمْ وَلَا أَوْلَادُكُمْ ۚ يَوْمَ الْقِيَامَةِ يَفْصِلُ بَيْنَكُمْ ۚوَاللَّـهُ بِمَا تَعْمَلُونَ بَصِيرٌ ﴿٣﴾} صدق الله العظيم [الممتحنة:3]، ولذلك قال محمدٌ رسول الله صلّى الله عليه وآله وسلم: [يا فاطمة بنت مُحمد اعملي لنفسك فإني لا أغني عنك من الله شيئاً] صدق محمد رسول الله صلّى الله عليه وآله وسلّم.

    ومن ثم تبيّن لنا الحديث المُفترى عن النّبي كذباً أنَّ محمداً رسولَ الله صلى الله عليه وآله وسلم، يشفع للناس كما يلي:
    اقتباس المشاركة :
    فيأتون آدم فيقولون له اشفع لذريتك ، فيقول : لست لها ، ولكن عليكم بإبراهيم ، فإنه خليل الله ، فيأتون إبراهيم ، فيقول : لست لها ، ولكن عليكم بموسى ، فإنه كليم الله ، فيؤتى موسى ، فيقول : لست لها ، ولكن عليكم بعيسى ، فإنه رُوح الله وكلمته ، فيؤتى عيسى ، فيقول : لست لها، ولكن عليكم بمحمد .
    فأوتى فأقول : أنا لها ، ثم أنطلق فاستأذن على ربي ، فيؤذن لي ، فأقوم بين يديه ، فأحمده بمحامد لا أقدر عليها إلا أن يلهمنيها ، ثم أخر لربنا ساجداً ، فيقول : يا محمد ، ارفع رأسك ، وقل يسمع لك ، وسل تعطه ، واشفع تشفَّع ، فأقول : يا رب ، أمتي أمتي، فيقول : انطلق فمن كان في قلبه حبة من برةٍ أو شعيرةٍ من إيمانٍ فأخرجه منها ، فأنطلق فأفعل .ثم أرجع إلى ربي فأحمده بتلك المحامد ، ثم أخرُّ له ساجداً ، فيقال لي : يا محمد ، ارفع رأسك ، وقل يسمع لك ، وسل تعطه ، واشفع تشفَّع ، فأقول : يا رب أمتي أمتي ، فيقال لي : انطلق ، فمن كان في قلبه مثقال حبة من خردلٍ من إيمان فأخرجه منها ، فأنطلق فأفعل .
    ثم أعود إلى ربي أحمده بتلك المحامد ، ثم أخر له ساجداً ، فيقال لي : يا محمد ، ارفع رأسك ، وقل يسمع لك ، وسل تعطه ، واشفع تشفع ، فأقول : يا رب ، أمتي أمتي ، فيقال لي : انطلق ، فمن كان في قلبه أدنى أدنى أدنى من مثقال حبة من خردل من إيمان فأخرجه من النار فأنطلق فأفعل.
    انتهى الاقتباس

    انتهى حديث الشيطان الرجيم المفترى على رسول الله الكريم على لسان أوليائه شياطين البشر الذين يُظهرون الإيمان ويُبطنون الكفر للصدّ عن الذكر، وأقصد من افتراه فتولّى كِبْرَهُ ولا أقصد من رواه بظنّه أنه عن رسول الله، ولكنه لا تُكشف لكم الأحاديث المكذوبة عن النّبيّ إلا بعرضها على آيات أمّ الكتاب المحكمات، فإذا كان الحديث نبويّاً في السُّنة الحقّ من عند الله ورسوله فحتماً لن يخالف القرآن، وأمّا إذا كان من أحاديث شياطين البشر الذين يُظهرون الإيمان ويُبطنون الكفر لصدّ المسلمين عن اتّباع الذكر القرآن العظيم فحتماً سوف تجدون بين الحديث المفترى على الله ورسوله وبين محكم القرآن العظيم اختلافاً كثيراً كون القرآن العظيم محفوظ من التحريف والتزييف، ولذلك جعله الله الكتاب المرجع المهيمن على التوراة والإنجيل والأحاديث في السُّنة النبويّة، فما كان فيهم جاء مخالفاً لمحكم القرآن العظيم فاعلموا يا معشر المسلمين أنّه حديثٌ مفترًى جاءكم من عند غير الله ورسوله. أم إنكم لا تعلمون بالمنافقين الذين يُظهرون الإيمان ويُبطنون الكفر؛ المندسّون بين صحابة رسول الله الحقّ قلباً وقالباً؟ فجميعهم مسلمون ظاهرَ الأمر معلنون الطاعة والولاء لله ورسوله غير أنّ طائفةً من التابعين منافقون يُظهرون الإيمان ويُبطنون الكفر، وكانت لا تفوتهم محاضرةٌ من مجالس البيان عند النبيّ حتى يكسبوا ثقة المسلمين فيُبيّتون أحاديث إلى ما بعد موت النبيّ فَيَروُونَها للناس ثم تأتي مخالفةً لأحاديث رسول الله عن صحابته الحقّ الذين معه قلباً وقالباً، وكذلك تأتي مخالفةً لمحكم آيات أمّ الكتاب البيّنات في القرآن العظيم, وقال الله تعالى:
    {مَّن يُطِعِ الرَّسُولَ فَقَدْ أَطَاعَ اللَّـهَ ۖ وَمَن تَوَلَّىٰ فَمَا أَرْسَلْنَاكَ عَلَيْهِمْ حَفِيظًا ﴿٨٠﴾ وَيَقُولُونَ طَاعَةٌ فَإِذَا بَرَزُوا مِنْ عِندِكَ بَيَّتَ طَائِفَةٌ مِّنْهُمْ غَيْرَ الَّذِي تَقُولُ ۖ وَاللَّـهُ يَكْتُبُ مَا يُبَيِّتُونَ ۖ فَأَعْرِضْ عَنْهُمْ وَتَوَكَّلْ عَلَى اللَّـهِ ۚ وَكَفَىٰ بِاللَّـهِ وَكِيلًا ﴿٨١﴾ أَفَلَا يَتَدَبَّرُونَ الْقُرْآنَ ۚ وَلَوْ كَانَ مِنْ عِندِ غَيْرِ اللَّـهِ لَوَجَدُوا فِيهِ اخْتِلَافًا كَثِيرًا ﴿٨٢﴾} صدق الله العظيم [النساء].

    فلكم ذكرتُ ولكم كررتُ دعوى الاحتكام إلى كتاب الله القرآن العظيم بعرض ما لديكم على محكم آيات الكتاب البيّنات هنّ أمّ الكتاب لكشف الأحاديث المكذوبة عن النبيّ، فنُغربل سُنّة محمدٍ رسول الله من الأحاديث المفتراة ونطهّرها بإذن الله تطهيراً، ونجاهدكم بمحكم القرآن جهاداً كبيراً، ونعيدكم إلى منهاج النبوّة الأولى على كتاب الله وسنّة رسوله، فأبيتم يا معشر كِبار علماء المسلمين من بعد ما تبيّن لكثيرٍ منكم أنه الحقّ! والذين لا يعقلون ينتظرون لتصديقكم ومكذّبين عقولهم التي جعلها مع البيان الحقّ للقرآن العظيم كونها لا تعمى الأبصار ولكن تعمى القلوب التي في الصدور. فوالله ثمّ والله لا ولن يتّبعوا البيان الحقّ للقرآن بالقرآن للإمام المهديّ ناصر محمد اليماني إلا الذين يعقلون سواء من علماء المسلمين وعامتهم، وأمّا الذين لا يعقلون فهم من أصحاب النار، وحتماً سوف يقولون أمثال قول أهل النار تصديقاً لقول الله تعالى:
    {وَقَالُوا لَوْ كُنَّا نَسْمَعُ أَوْ نَعْقِلُ مَا كُنَّا فِي أَصْحَابِ السَّعِيرِ ﴿١٠﴾} صدق الله العظيم [الملك].

    فلن يُغني عنكم علماءُ الأمّة المعرضون شيئاً من عذاب الله، فاتقوا الله يا أولي الألباب، فما يتذكّر إلا أولو الألباب خير الدواب. واستجيبوا قُبيل رجفة نيزك كويكب العذاب أو قبل مرور كوكب سقر ذي أمطار الأحجارٍ، واستجيبوا لداعي الحقّ من ربكم، وتهافتوا في موقعنا بصوركم وأسمائكم الحقّ في طاولة الحوار العالميّة فلن يسعني وإيّاكم جميعاً غيره، ذلكم موقع الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني منتديات البشرى الإسلاميّة للحوار من قبل الظهور، وسارعوا يا معشر المسلمين بالبيعة لله في قسم البيعة في طاولة الحوار العالميّة واستكثروا من الخيرات حتى لا يمسّكم السوء فإن عذاب الله لآت؛ بل اقترب.

    واعلموا أنّ عدّة الشهور عند الله اثنا عشر شهراً في كتاب الله يوم خلق الله السماوات والأرض قبل مواليد أنبيائكم وهجرتهم، ومنها أربعة حُرُمٌ، وآخر عامكم هذا شهر محرم الرابع في الأشهر الحُرُم والأخير في السَّنة القمريّة، ويبدأ العام القمريّ من شهر صفر.

    ولكنّ المستكبرين أبشّرهم بعذابٍ عقيمٍ من ربّ العالمين كونه تبيّن لهم الحقّ من ربّهم وعنه يصدّون، فمن يُجيرهم من عذابٍ قريبٍ على الأبواب الساعة التاسعة في يومٍ ما في شهرٍ ما؟ اللهم قد بلغت، اللهم فاشهد، وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..

    عبدُ الله وخليفته الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
    _____________

    [ لقراءة البيان من الموسوعة ]
    https://mahdialumma.net./showthread.php?t=35775

    اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..


    كُفيــتَ يا قلـــبُ بالنّعيـم تَقربــاً وما كانَ للقلب عن حبّه لَيحيدُ
    وَكلّما مالَت شغافُ القلبِ للدُّنيا كانَ الوريدُ إلى الحَبيب مُريدُ

المواضيع المتشابهه
  1. مشاركات: 0
    آخر مشاركة: 29-09-2018, 02:44 AM
  2. مشاركات: 0
    آخر مشاركة: 07-08-2018, 02:59 AM
  3. مشاركات: 0
    آخر مشاركة: 23-04-2018, 12:29 AM
  4. مشاركات: 0
    آخر مشاركة: 17-02-2018, 08:31 PM
  5. مشاركات: 0
    آخر مشاركة: 13-02-2018, 09:11 PM
ضوابط المشاركة
  • لا تستطيع إضافة مواضيع جديدة
  • لا تستطيع الرد على المواضيع
  • لا تستطيع إرفاق ملفات
  • لا تستطيع تعديل مشاركاتك
  •